maharage

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Flaviana Matata aonyesha ufundi wa kupika

    Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu, waandaaji wa maudhui, na wapishi wa vyakula mbalimbali, likiwa ni sehemu ya juhudi za Kampuni ya Coca-Cola...
  2. N'yadikwa

    Nauza maharage ya Mbeya kilo 350. 3000 kwa kilo 1

    Wateja karibuni bei ya shamba hiyo. DM for business. Location Dar na Katumba
  3. N

    Nasafirisha maharage ya Mbeya kuleta Morogoro na Dar. Kama unahitaji nicheki

    Habali ndugu zangu, Nafanya biashara ya maharage ya mbeya kuleta Moro na Dar. Kwa wateja wa madukani kwa bei ya makubaliano na aina ya maharage husika. Kama unaitaji maharage na upo maeneo hayo nicheki nikuletee mzigo mpaka dukani. 0629117470
  4. Mookiesbad98

    Huko uliko kilo ya maharage ni kiasi gani? Hapa Dar Tsh 3,400

    Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja. Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini wanaumia sana na watakosa milo iliyokamilika. Nawasilisha
  5. Introvert Music

    Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  6. C

    Wapi nitapata mbegu za maharage ya Njano?

    Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana atoe msada. Uzi tayari.
  7. N

    Naomba kujuzwa chimbo la maharage bei ya jumla

    Kwa wale wenye uzoefu na biashara ya maharage napenda kuuliza eti debe moja ya maharage inakadiliwa kuwa na kilo ngapi? Au gunia lenye kilo 100 la maharage linakuwa na debe ngapi? Msaada please
  8. The ice breaker

    Nahitaji maharage ya njano

    Habari Nahitaji maharage ya njano , mwenye nayo anicheki, nahitaji mengi kuanzia Tani 1 na kuendelea +255716473605
  9. MEGATRONE

    Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart

    Habari zenu ndugu zangu! Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart! Anayehitaji tuwasiliane kwa mawasiliano: 0672473087
  10. Ricky Blair

    Organic Black Kidney Beans au maharage meusi?

    Kuna project nafuatilia nilikuwa nataka kujua watu wa Arusha km mngenisaidia retailer ambaye anahusika na izi Organic Black Kidney beans kwa wingi sana nijue.
  11. Yoda

    Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

    Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao...
  12. figganigga

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Kuna Mahindi ambayo Marekani imetoa msaada kwa Tanzania. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kawa na wasiwasi nayo. Amedai yamewekewa Virutubisho ambavyo havijulikani. Pia Waziri kasema Tanzania tuna Mahindi mengi hayana Soko, hivyo wangetumia mahindi yetu na kuweka Virutubisho Watanzania wakiwa...
  13. Roving Journalist

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama...
  14. CARIFONIA

    Maharage bora na safi kabisa bei kitonga

    Jamani kama mnavyojua nchi hii bei za vitu avitabiriki, kujiwekea akiba ni jambo la msingi sana, leo sukari inasumbua lakini kwa waliokua na akiba ya kutosha mambo ni shwari. Haya hii hapa fursa maharage safi kabisa na bei ni kitonga unateleza tu, tunauza kuanzia kilo moja na kuendelea Kilo...
  15. K

    Nahitaji kuanza biashara ya maharage. Mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake anijuze

    Natumai mko vema nilikuwa nahitaji kuanza biashara ya maharage mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake. Mwenye uzoefu karibu.
  16. GoldDhahabu

    Naomba kufahamishwa kuhusu "kunde" aina ya ngwara

    1. Kutahitajika kiasi gani kwa ajili ya kupanda eka 20? 2. Inapatikana wapi mkoani Mwanza au mikoa ya jirani? 🙏🙏🙏
  17. GoldDhahabu

    Haya ni maharage gani?

    Kwa Kiha yanaitwa KINULE! Kwa Kiswahili yanaitwaje? Au ndiyo NGWARA? Yanalimwa zaidi nchini Burundi. Ni watu wachache sana wanaoyalima Kigoma. Mengi yaliyopo "masokoni" Kigoma yametoka huko. Kwa anayefahamu atusaidie jina kwa Kiswahili na upatikanaji wake ulivyo, na bei pia, katika miji...
  18. U

    Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  19. wakusoma21

    Nahitaji Chambua Chambua kwenye maharage (viua gugu kwenye maharage)

    Habari ya Kazi, poleni na harakati za kila siku. Nimekuja mbele yenu ili mnijuze kiuagugu ambacho ni Bora kwenye maharage. Yaaan namaanisha Chenye ufanisi mkubwa kuua magugu na nyasi na kuacha maharage. Nikipata jina la hiyo kiuagugu kama ni la biashara (trade name) au la kisayansi (generic...
  20. stan john

    Matapeli wenitapeli lak 1 niliagiza maharage ya njano kilo 50

    Nimetapeliwa laki 1 ,nilitoa tangazo nahitaji maharage ya njano , mwenye namba hii 0789242824 ajanitumia meseji inbox akanambia anamjua anayeuza maharage ya njano yupo kyela ,mbeya na akanipa namba yake ,akanambia ni muaminifu na niwe na amani ntapata maharage ya njano, akanitumia namba za...
Back
Top Bottom