Serikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu.
Miongoni mwa bidhaa za chakula zilizopanda bei katika mwaka ulioishia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti mwaka huu ni mchele, maharage, mahindi...
Mfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha!
Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini.
R.I.P JPM.
Nina eneo kubwa nataka kulima maharage.
Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni.
Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
Nilikutana na mademu kama watatu ivi wenye breach kichwani nyakati tofauti tofauti na kufanikiwa kupata utamu wa asili kiraisi mno bila ata kutumia nguvu lakin sasa kimbembe hawa mademu ni shida Ving'ang'anizi adi walikuwq wananifanya nihame mitaa na kuwa chukia tena.
Mwanamke wa kwanza
Uyu...
Habari za saa hizi wanachama wa jukwaa la biashara na ujasiriamali.
Nataka kufanya biashara ya kuuza maharage Tandika - dabo kibini ambapo ndipo lilipo soko la vyakula.
Mtaji wangu si mkubwa saaana lakini kwa hii biashara inawezekana kufanyika. Nina 1.1m.
Sasa nimekunja katika jukwaa hili...
Habari,
Nahitaji maharage ya njano yale ya mviringo (manene) kuanzia TANI 2-5 (kwa wiki).
Pia nahitaji Mahindi mazito(masafi) kuanzia TANI 5-10(kwa wiki) kwa ajili ya kuchakata unga wa sembe.
Location: Kibaha(Boko-Mnemela).
Kwa yeyote anayeweza ku-supply mzigo huo kwa wiki, karibu kwa...
Habar wakuu,
Kwanza nikiri kuwa nepata wazo la kufanya hii biashara ya maharage ya kuchemsha kutoka humu humu kwa MSELA Q Beans, Ila sio dhambi, msela nimemtafuta kwa number yake ile ya watsap aliyoitoa lakini haipatikani.
Nimecheki inbox hajajibu, huenda Yuko bize, najua akiwa online...
Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika? Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika...
Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare tafadhari, asante.
Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO ana umri zaidi ya miaka 45. Ameingiaje kwenye utumishi wa Umma ?
Au ni urafiki wake na Waziri wa Nishati January Makamba (cronyism) ndio umempa upendeleo huu ? Makamba ndio amepeleka jina kwa Rais. Rais hamjui Maharage.
Matokeo ya cronyism...
RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca
Nimekuwa mjini muda mrefu sana
Nimeona kukaa mjini hailipi
Napanga niende kijijini nikalime
Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao
Niko kanda ya ziwa
Unanishauri nihamie wapi ambapo naweza kufanya kilimo cha mahindi karanga mahindi maharage na mpunga
Na nikafanikiwa...
Niko wilaya ya kwimba napenda kujua kama maharage yanaweza kusitawi vizuri kwenye udongo mweusi (mfinyanzi) maana ninaeneo la aina hiyo na liko karibu na chanzo Cha maji.
Naomba ushauri wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.