Wakuu nawasalimu,
Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target?
Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
Habari wadau nauza maharage mapya mazuri ya njano kwa bei ya jumla.
kilo moja nauza shilingi 2500.
Mzigo upo tani 2 na nusu asante.
Tuwasiliane kwa namba ya simu
+255789740368
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu...
Naangalia taarifa ya habari ITV sasa hivi, nimestaajabu kumuona CEO wa TANESCO Maharage akisema umeme wa grid ndio uko asilimia 47 kuelekea Kigoma. Mimi labda siko Tanzania au sielewi.
Nakumbuka kwa masikio yangu nimesikia tena sio mara moja kwamba umeme wa grid ulishafika Kigoma miezi kadhaa...
Taarifa iliyowasilishwa Bungeni kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya #UKIMWI na kueleza kuwa Wafungwa na Mahabusu Tanzania wanapewa aina moja ya Chakula kila Siku.
Kutokana na hilo, Afya za #Wafungwa walioathirika na Virusi vya UKIMWI na wanaotumia Dawa za Kupunguza Makali ya Virusi...
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.
Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na...
Watanzania ni watu wa ajabu sana.
Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko.
Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja...
Kwahiyo umetoka nchini Ubelgiji (Ulaya) kuja (kurejea) Tanzania kuzungumzia Bei ya Nyama kuwa sawa na ya Maharage?
Kama wanasiasa wa Upinzani mpo this low ni bora tu GENTAMYCINE na Watanzania wenye akili tuendelee kuipigia kura CCM na CCM iendelee kutawala kama siyo kututawala milele!
I'm very...
Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema kuwa usafiri wa Treni ya Umeme unaotarajiwa kuanza Nchini utatumia umeme wa shirika hilo.
Amesema hayo alipokuwa akizungumza na Wanahabari Ijumaa ya Desemba 16, 2022, Dar es Salaam ambapo ametoa ufafanuzi huo...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeeleza kufanikiwa kupunguza makali ya upungufu wa umeme kutoka wastani wa kati ya Megawati 200 hadi 250 wiki iliyopita hadi wastani wa kati ya Megawati 100 - 150 wiki hii.
Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande amesema wameendelea kuchukua hatua...
Maharage Chande: Fantastic question Zitto, nianze kwenye kuwapa watu binafsi. Ni kweli kama ulivyosema, TANESCO na wizara ya nishati kwa miaka mingi iliyopita, utekelezaji wa miradi kwenda kwa watu binafsi imekuwa inasuasua, inasuasua kwa sababu kihistoria kumekuwa na kujengeka uoga mwingi...
Jana nafika dukani usiku kununua maharage kilo naambiwa 3,800 na kesho huenda tukapandisha kuwa elfu 4 kamili.
Nimeshindwa kuelewa shida ipo wapi maana mwezi wa nne yalikuwa 1,700 yakapanda 2,000 hadi 2,400 sasa huku tunapoenda tutakula tu ugali na kachumbari. Vitu vyote vimekuwa juu mno, kama...
Kijana Elvis Shoo (27) mkazi wa kitongoji cha Bogini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amelazwa katika kituo cha Afya Pasua akiuguza majeraha ya moto, yaliyotokana na kuunguzwa kwa uji na shangazi yake akidaiwa kuiba maharage jikoni.
Tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea Septemba 30 mwaka huu...
Juzi nimelejea toka huko majuu niliko Kaa mda wa mwezi hivi.
Niliacha Mchele ukiwa 2,800 kwa kilo.
Mda huu niko dukani Bei ndio hizo hapo juu.
Hii nchi hadi tufike January 2023 ambapo wakulima wataanza kuvuna tena tutakuwa tumechoka sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.