mahakamani

  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya "If you do me, I do you", tukutane Mahakamani

    Unyama mwingi mwaisa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri Kenya waache mavazi ya kikoloni mahakamani

    Sijaona sababu ya wakenya kuvaa mavani ya kikoloni mahakamani.
  3. Ahmed Omar_

    JamiiForums Tanzania Ya Bamkwe yangalipo: Safari yangu ya gerezani bila kupitia polisi wala mahakamani

    Na; Ahmed Omar UTANGULIZI Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

    Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama wa...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe

    Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4. Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki. Soma na hizi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Waziri Simbachawene kuburuzwa mahakamani

    Siku moja baada ya kusambaa video inayomuonyesha mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene akitoa lugha chafu mbele ya askari wa usalama barabarani, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria itafuata...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk ataka mmiliki wa Twitter kumtetea Mahakamani

    Elon Musk amechukua hatua za kisheria kumwita mwanzilishi mwenza wa Twitter, Jack Dorsey kufika Mahakamani akiwa kama mtetezi wake kuhusu kusitisha malipo ya zaidi ya Tsh. Trilioni 102 ili kuinunua Twitter. Mawakili wa Musk walimpigia simu bosi wa zamani wa Twitter Jack Dorsey ambaye anatajwa...
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sikiliza Kona Tano za Raila kumbana Rutto mahakamani

    Sikiliza: Katiba ya Kenya inawapa fursa walio shindwa katika uchaguazi kupeleka malalamiko mahakamani ili kuhakikisha uchaguzi wa haki. Mgombea wa uraisi aliyeshindwa katika uchaguzi wa Kenya, Raila Odinga, apeleka malalamoko mahakama ya kupinga matokeo ya usaisi wa August 9 ulio mpa ushindi...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Simiyu: RC Nawanda aagiza kuvifikisha mahakamani vikundi ambavyo havijarejesha kwa wakati mikopo ya 10% ya halmashauri

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Simon Berege kuvifikisha mahakamani vikundi vyote vilivyoshindwa kurejesha mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani. Imeelezwa kuwa vikundi hivyo vinahusisha vikundi vya...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai yamemkuta, Wabunge kumpeleka Mahakamani

    Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maafisa 3 wa Tume ya Uchaguzi Wafikishwa Mahakamani

    Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la kupiga kura Agosti 9 Maafisa hao wanadaiwa kukataa kupeleka vifaa hivyo, zikiwemo karatasi za kura...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mgogoro shamba la mwekezaji Moshi watua Mahakamani

    Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth Stegmaier ambaye ni Raia wa Ujerumani na chama cha ushirika cha Uduru umeingia sura mpya baada ya pande zote mbili za mgogoro huo kukimbilia mahakamani. ======= Moshi. Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Lindi: Maofisa wa Magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji wafikishwa Mahakamani mara ya nne

    Maafisa watatu wa magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Mkoani Lindi, Abdallah Ngalumbale, wameendelea kusota rumande baada ya shauri la kesi yao kusikilizwa kwa njia ya mtandao, leo Agosti 3, 2022. Watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakamani kwa mara ya 4 ambapo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Zaidi ya Wanaume 80 Mahakamani kwa Kubaka kundi la Wanawake Wakiwa Local

    Genge la Wanaume 82 wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini leo wakihusishwa na makosa mbalimbali yakiwemo kuwabaka kundi la Wanawake waliokuwa wanarekodi video ya Muziki katika moja ya migodi nchini humo siku ya Alhamisi Shuhuda wa tukio hilo, lilitotokea huko Krugersdorp...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kibatala awataka Ndugai na Mahera mahakamani

    Wakili Peter Kibatala amesema atawahitaji aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Charles Mahera ili wahojiwe kuhusu wabunge 19 walioapishwa kwa tiketi ya CHADEMA. Kibatala amesema ni lazima viongozi hao wahojiwe kwa kuwa ndio waliowapitisha na...
  16. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi, Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Utahitaji Kibali cha TCRA Kuweza Kuishitaki TCRA Mahakamani

    Utahitaji kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ili kuishitaki TCRA mahakamani kwa mujibu wa kifungu namba 68, kifungu kidogo namba mbili, cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010. Sheria hii ni moja kati ya sheria zinazolalamikiwa sana kwa kuminya uhuru...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayedai kuwa mtoto wa Mwai Kibaki afungua Shauri Mahakamani

    Jacob Ochola, (62) anayedai kuwa Mtoto wa kwanza wa Rais Mwai Kibaki, amefungua shauri la kutaka kutambuliwa na familia ya Hayati huyo kama mwanafamilia na mrithi wa sehemu ya ardhi inayoripotiwa kuwa na thamani ya Mabilioni ya Shilingi Katika shauri hilo Ochola anaitaka Mahakama kuwashurutisha...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Zumaridi kutokuwa na imani na Hakimu yakosa majibu Mahakamani, Julai 18, 2022

    Maombi ya mshtakiwa Diana Bundala "Mfalme Zumaridi" ya kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha kesi namba 10 ya kujeruhi askari na kumzuia afisa ustawi kutekeleza majukumu yake yameshindwa kupata majibu baada ya Hakimu huyo kudai alipata changamoto ya kiafya. Mapema leo hii mfalme Zumaridi...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpeleka Shemeji yangu Mahakamani!

    NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI Anaandika, Robert Heriel. Haki lazima ikatendeke! Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
Back
Top Bottom