mahakamani

  1. M

    Afisa mtendaji kata Lulembela awafikisha mahakamani baadhi ya watumishi kwa kutolipa mchango aliouanzisha

    Afisa mtendaji kata ya Lulembela wilaya ya Mbogwe mkoani Geita leo tarehe 6 September 2021 amewafikisha mahakamani baadhi ya watumishi (Walimu na wataalamu wa afya) kujibu shauri alilolifungua (KUPINGA MAENDELEO) katika mahakama ya mwanzo Lulembela. Katika shauri hilo walilosomewa watumishi hao...
  2. Prof Koboko

    Nampeleka RPC mkoa wa Mara Mahakamani

    Kufuatia tamko lake la juzi kuwa makomando ya katiba ni kinyume na sheria kwamba ni haramu, ninapenda kusema sasa tutakutana mahakamani ili aje kutoa kutoa tafsiri hiyo mahakamani mbele ya wanasheria pamoja na hakimu. Hii tabia ikiachwa ikaendelea kwa viongozi wa aina ya huyu RPC kuendelea...
  3. S

    Jaji au Hakimu anapoandaa hukumu, huwa ni siri yake au hupaswa kushirikisha watu wengine kabla ya kusoma Mahakamani?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani. Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi. Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza...
  4. Erythrocyte

    Wananchi wazuiwa kusikiliza Kesi ya Mbowe, Mageti kuelekea mahakamani yafungwa

    Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la.
  5. BAK

    Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

    Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za Marekani, Uingereza na Sweden Mahakamani. Kesho Jumanne 31 Agosti, 2021 Kesi ya Ugaidi. Naibu...
  6. waziri2020

    Kesi ya Mfanyabiashara Salehe Alamri kumiliki silaha kinyume na sheria yapigwa kalenda hadi September 28, 2021

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi wilayani Babati mkoani Manyara . Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa Jana na hakimu wa mahakama hiyo,Kimario hadi September 28 mwaka...
  7. Mchochezi

    Askari waliomsindikza Mbowe mahakamani

    Kwa mbwembwe tu, askari wetu wako vizuri!
  8. Shujaa Mwendazake

    Mahakama itamleta IGP Sirro na Sabaya Mahakamani kama ilivyoombwa na Wakili Kibatala

    Wakili Peter Kibatala kwa niaba ya jopo ameiomba Mahakama imlete IGP Sirro na Ole Sabaya kuja Mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya Freeman na wenzake Aidha. Pia Washtakiwa watatu wamekataa maelezo yaliyosomwa Mahakamani hapo na kusema sio maelezo waliyotoa. Je, Mahakama itaridhia na...
  9. Zanzibar-ASP

    Balozi Mulamula usiwatishe mabalozi. Mahakama ni eneo la umma, huru na salama

    Siku ya jana nimemsikia Balozi Mulamula akitoa onyo na vitisho dhidi ya mabalozi, maafisa wa kidiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao na taasisi za kimataifa hapa Tanzania kuhusu hatua yao kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Balozi...
  10. Hismastersvoice

    Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
  11. Analogia Malenga

    Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

    Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa. Akihojiwa...
  12. mshale21

    Ole Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

    Arusha . Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Lengai o Sabaya amemkana mshirika wake katika kesi hiyo ya unyang'anyi wa matumizi, Sylvester Nyegu, kuwa hakuwa msaidizi wake. Sabaya na wawili wawili, Nyegu ambaye anadaiwa na upande wa mashtaka kuwa msaidizi wake binafsi na...
  13. comte

    Wapinga chanjo waliwahi kwenda mahakamani na kushindwa na upande wa serikali na wapenda chanjo

    In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin. However, in the landmark Jacobson v...
  14. Jembe Jembe

    Arusha: Kanisa lashitakiwa kwa tuhuma za utapeli wa eneo

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
  15. Kabulala

    Naweza kuwashitaki CRDB ili walipe fidia kwa usumbufu na kadhia?

    Leo nimeenda Bank kuchukua pesa ambazo kabla sijaanza kuwapatia wanihifadhie tulipeana masharti. Cha kushangaza Leo nimeenda branches mbili zote walinzi wao (ambao hawakuwepo wakati nawekeana makubaliano na bank kuhusu vigezo na masharti) wakanizuia kuingia ndani kuchukua pesa zangu Kwa kigezo...
  16. E

    Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
  17. Jembe Jembe

    Sabaya kesho kujulikana kama ana kesi ya Kujibu ama la!!

    Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha kesho inatarajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha na kupora Mali na fedha inayomkabili Sabaya na wenzake wawili iwapo Sabaya na wenzake kama wanakesi ya Kujibu ama la. Uamuzi huo utatolewa kesho majira ya saa tatu asubuhi na hakimu...
  18. Shujaa Mwendazake

    Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Neema Mwakipesile wa BAWACHA Agosti 12, 2021

    Polisi wenu wamemuachia HURU Bi. Neema Mwakipesile Sakalile baada ya mawakili wetu kupeleka Habeas Corpus mahakamani na kesi kupangwa tarehe 12/08/2021 (kesho) saa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Mgonya, Mahakama Kuu, DSM... Muda huu wamemuachia baada siku 15.. Huu ni UONEVU! Mawakili wetu muda huu...
  19. A Father

    Mbowe kuhudhuria shauri lake Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe la kumruhusu Mbowe kuhudhuria shauri lake la Kikatiba alilolifungua dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)...
  20. n00b

    Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
Back
Top Bottom