Mara: Watu 11 wafikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa kuiibia NHIF

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Mama anaupiga mwingi sana.
Halafu uzuri mmoja wa mama yeye hana maneno mengi.ukizingua nae anakuzingua.

====

Taasisi si ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara imewapandisha kizimbani watumishi 11 wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) wakikabiliwa na mashtaka 811 ya uhujumu uchumi ambapo leo wamesomewa mashtaka mawili la kwanza na la mwisho, ambalo ni kuongoza genge la wahalifu na la kuusababishia mfuko hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 30.
IMG_20220224_184336_416.jpg
 
View attachment 2129918
Wameibaje sasa ufafanuzi tafadhali
 
Back
Top Bottom