Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,450
12,317
Adai anaishi kwa stress baada ya kutelekezwa.

=========

The wife of Tanzanian Superstar Ali Kiba has filed for divorce in Mombasa Kadhi's court after three years of marriage.

Amina Khalef wants to dissolve her marriage with Ally Salehe Kiba, claiming stress and neglect.

The two married under Islamic Law on April 19, 2018, in a glamorous wedding held in Mombasa and later proceeded to live as a couple in Dar es Salam Tanzania.



IMG_20220218_100646.jpg
 
Sio wa kikuyu tu almost makabila yote ya Kenya wanawaza pesa kuliko ndoa dini na heshima, hawa ridhiki, mara mia uchukue mchagga wa hapa jopo na wenyewe ni mtihani kwenye mali.
Ndo maana Kenya watoto kutembea watu wazima ni kama jamii imeshapitisha kule Hali ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom