Saed Kubenea aachiwa kwa dhamana

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326

Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo na ameachiwa kwa dhamana

Kubenea alikamatwa Septemba 07, 2020 na kutuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo utakatishaji fedha, kukiuka Sheria za kuvuka mpaka kwenda Kenya na kurejea nchini kwa kutumia njia zisizo rasmi

Baada ya kukamatwa alifikishwa Mahakamani na kisha kurudishwa rumande kutokana na makosa ya utakatishaji fedha kutokuwa na dhamana

Pia, Soma: Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande
 
Wangeendelea nae tu...... Sinaga Huruma na wasaliti.....

Na zile pesa za manunuzi za mwanzo toka ccm lazima azitapike
 
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo na ameachiwa kwa dhamana

Kubenea alikamatwa Septemba 07, 2020 na kutuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo utakatishaji fedha, kukiuka Sheria za kuvuka mpaka kwenda Kenya na kurejea nchini kwa kutumia njia zisizo rasmi

Baada ya kukamatwa alifikishwa Mahakamani na kisha kurudishwa rumande kutokana na makosa ya utakatishaji fedha kutokuwa na dhamana

Pia, Soma: Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

huyu mpuuzi hakupaswa hata kuachiwa
 
Nampa pole. Dikteta anazidi kufanya yake. Kubenea ni mtanzania lkn eti anadaiwa kuingia nchini kinyume cha sheria.

Huyu dikteta John aondoke.....
 
Yaani wale viongozi wa Chadema Singida walikosa dhamana,kina Rugemalila wamezimwa dhamana,hii kesi inataka kufanana na lile igizo la aliyekuwa mbunge wa kishapu ,Nchambi
 
imeisha hio ...

ukishaona mtu ameachiwa kwa dhamana ujue kesi imeisha mpunga ushatembea kwa wajumbe
 
Utakatishaji fedha haina dhamana ama sheria na katiba zinavunjwa awamu ya 5???
Kama jiwe alivyozuia shughuli zote za kisiasa 2015-20.

Alitaka 2020 apite bila kupingwa.
Kwenye charge sheet kuna kutakatisha fedha?

Mnakariri sana nyie CHADEMA
 
Back
Top Bottom