TCRA wana Mamlaka makubwa kuliko Mhimili wa Mahakama?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Sijui kama tumebaini TCRA wanachukua jukumu la mahakama na kujitwisha wao.

Wamejitungia kanuni za wao kutuhumu, kusikiliza na kuhukumu kitu ambacho siyo haki. Uwezi nituhumu then ukajakusema nimekushinda kwa hoja lazima utaonesha nimeshindwa

Hiki wanachofanya cha kutafsiri hadi Sheria zisizo zao, yaani Sheria ya uchaguzi, si cha kufumbia macho.

Nasikia wamesema waombwe radhi siku nzima na matangazo ya baadhi ya Vyombo vya Habari yasitishwe wiki. Huu sasa ni UmangiMeza
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/08/2499036_clouds_Msamaha.mp3
 

Attachments

  • clouds Msamaha.mp3
    407.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom