magufuli

  1. alumn

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli Bus Terminal - Dar es Salaam fire and frozen rents about the illusory project that will never perform

    THIS THREAD CAN BE WELL UNDERSTOOD IF THE ORIGINAL DOCUMENT ATTACHED HEREWITH CAN BE PERUSED. Before he died, President Magufuli stood upright in the crowd of the global prominent leaders as the welfare president of the 21st Century. As for the implementation of the Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  3. Agresive

    JamiiForums Tanzania Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

    Nawasalimu kwa JMT. Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona. Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi. Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa. Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki. Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira. Watumishi waliambia...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa wafuasi wa Hayati Magufuli wamegawanyika makundi mawili

    Hakuna siri tena kwa sasa, kila kitu kiko wazi kwenye siasa za Tanzania, wafuasi wa Magufuli wamegawanyika kwenye makundi makubwa mawili. Kwa sasa kuna vita kubwa ya maneno, vijembe, kashfa, fitna, husuda, mivutano na hila za wazi wazi baina ya wafuasi wa Magufuli. Kuanzia mtaani, mitandaoni...
  6. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli hakuisaidia Chato

    Wilaya ya Chato iliyopo mkoani Geita ni Tanzania. Kwahivyo, itakuwa furaha ya kila mzalendo wa Tanzania kuona maendeleo ya Chato kama itakavyokuwa kwa maendeleo ya sehemu nyingine ya Tanzania. Lakini maendeleo ni nini? Aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli alijitanabaisha kama mtu...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa bunge: Legacy ya Nyerere na Magufuli ni tofauti na wengine

    Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa. Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru. Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na...
  8. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Dkt. John Pombe Magufuli nchini Tanzania na Bara la Afrika kwa Ujumla

    MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA. Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika nchini Tanzania, Barani Afrika na Duniani kwa Ujumla kutokana na namna alivyosimama kidete kuhakikisha...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

    Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii. Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya...
  10. COARTEM

    JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI: Je, Magufuli ameondoka na Corona? Hatusikii tena kelele zake

    Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania. Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya kumbukumbu ya Hayati Jemedari Dkt. Magufuli iadhimishwe sambamba na mashujaa hawa wa kizalendo nchini

    Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo. Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
  13. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CCM after Magufuli

  14. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliona mbali kuhusu chanjo, ona sasa huko Ulaya wanavyoanza kupukutika

    Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J . Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca. Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga...
  15. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta la Afrika Mashariki: Diplomasia ya uchumi ya urithi wa Hayati Magufuli na mapato ya Tsh 76.32bn kwa mwaka

    BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya...
  16. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Sio fair, Wanaoshinikiza Rais Mama Samia afikiri kama Magufuli sio uungwana

    Nashukuru Mungu kwamba angalau Tanzania ya hoja kwa hoja inarejea taratibu. Kumeibuka kundi la watu linaloshinikiza Mhe. Rais Mama Samia afikiri kama Hayati magufuli. Haieleweki vyema kwa nini wanafikiri hivyo ila kimsingi sio fair kabisa. 1. Mzee Mwinyi hakufikiri kama Nyerere, Mzee Mkapa...
  17. warumi

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Utawala wa Hayati Rais Magufuli na Rais Samia

    Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

    Jana Bungeni Waziri Mkuu alibainisha wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaenzi ‘legacy’ ya Magufuli. Alitaja mambo kadhaa kama vile kupinga rushwa; kuwajali wanyonge; na miradi ya kimkakati. Waziri wa Fedha pia alikemea wanaomrushia ‘mishale’ Hayati. Pia wabunge wengine kama Lusinde...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
  20. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuwezesha kuepuka kupata msongo wa mawazo. 1. Usiweke Malengo ambayo Hayafikiki Kila mtu ana...
Back
Top Bottom