magufuli

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  2. kopites

    JamiiForums Tanzania Dunia yashtuka msimamo wa Hayati Magufuli kuhusu COVID-19

    Dunia kwa sasa imeanza kuukubali msimamo wa aliekua Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli kuhusu ugonjwa wa corona na test kits zake. Wazungu na utaalamu wao wote wanaanza kuukubali msimamo wa Aliekuwa kiongozi mmoja mweusi kutoka nchi ya Tanzania dhidi ya propaganda zilizo nyuma ya ugonjwa wa...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

    Salamuni wanangu janvini. Japo Hayati John Pombe Magufuli hatarudi kujitetea tokana na madongo anayorushiwa na wasahaulifu wa nchi yetu, anao watetezi yaani legacy yake na Watanzania wenye mapenzi mema na taifa lao. Hivyo, hata kama hawezi kujitetea, wapo watakaomtetea hadi kieleweke. Naleta...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

    Ameandika hivyo kupitia twitter: Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Gunele: Rais ni taasisi hivyo Kikatiba inabadilika kila baada ya miaka 5, hivyo Rais Samia anatumikia kipindi cha Hayati Magufuli

    Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5. Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki. Dr Godwin anasema hata...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

    Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia ‘Mimi na Magufuli ni kitu kimoja’ ni ya Kisiasa zaidi matendo yao yanatofautiana

    Kisiasa Rais Samia Suluhu asingeweza kusema yupo kinyume na mtangulizi wake Magufuli, na hatutegemei aseme hivyo hadharani lkn inawezekana moyoni anawaza tofauti kabisa. Binafsi kinacho matter zaidi ni vitendo. Hivi ni baadhi ya viashiria vya tofauti zao kiutendaji. ———————— Magufuli: Tanzania...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

    Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka, je Benki zitapandisha riba za mikopo?

    Watumishi wa umma watamkumbuka sana Magufuli kwenye mikopo. Kabla Magufuli hajachukua nchi mwaka 2015 riba za mikopo ya kawaida ya watumishi ilikua ni kuanzia 20% hadi 25% kwenye mabenk yetu. Ilikua ukokopa milioni 10 kwa miaka 5 utalipa milioni 20. Baada ya Magufuli kuingia alizishawishi bank...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Magufuli alikuwa na Nia yake, Wewe (Samia) Wasikufitinishe

    Azim Dewji amemwambia Rais Samia: Rais Wetu Aliyepita(John Magufuli) Alikuwa na Nia Yake na Wewe (Samia Suluhu) Una Yako, Wasikufitinishe Source : JamiiForums ======== Azim Dewji: Mama kila kitu inategemea kwenye nia, Rais wetu mpendwa aliepita alikuwa na nia yake na wewe sasa hivi una nia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli . --+ Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Askofu Konki: Wanasiasa Wanamsifia Rais Samia na kumkashifu Hayati Magufuli, Hii ni kujipendekeza

    Askofu mkuu wa kanisa la Pentekoste Tanzania na mwenyekiti wa baraza la makanisa ya kipentekoste Tanzania, Peter Konki amewasilisha mada ya umoja na mshikamano katika kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya hayati John Magufuli ambalo Rais Samia Suluhu alikuwa Mgeni Rasmi...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Kuna mijitu ilikuwa na kesi za Uhujumu Uchumi, huruma ya Magufuli ikawataka warudishe walizoiba

    Leo katika kongamano la viongozi wa dini ukumbi wa Chimwaga Dodoma, Mufti wa Tanzania, Abubakari Zuberi alipata nafasi ya kusema machache na mojawapo aliongelea wahujumu uchumi nyakati za uongozi wa Rais Magufuli. ''Wenyewe ni mashuhuda, kuna mijitu humu ilikuwa na kesi ya kuhujumu uchumi, kuna...
  16. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
  17. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

    Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika. Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

    Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana. Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  20. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Viongozi waliotumbuliwa na hayati Magufuli kimakosa kwa sababu za kisiasa au chuki binafsi

    1. Dr. Nyambura Moremi Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii. Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona. Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali...
Back
Top Bottom