magufuli

  1. W

    JamiiForums Tanzania Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

    Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet. Mara baada ya uchaguzi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

    Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu. Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani. Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa wa kuuendeleza Umagufulism bila ya Magufuli

    Tulitazamia mabadiliko makubwa kabisa wa mfumo wa kiongozi na namna ya kuendesha Serikali katika awamu hii ya sita lakini mambo yameenda visivyo kabisa kwani kuna mabadiliko machache sana yaliyotokea hadi hivi sasa lakini karibu asilimia85% ya nchi yetu mfumo unaotumika ni mfumo wa serikali...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

    Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni. Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

    Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

    Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya kurudishwa na nyerere kwenye madaraka hakuweza kukaa ata kwa miaka miwili na ndipo akaibuka mseveni...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida, rais wa Chad aliuawa na Waasi

    Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida" hii kauli nimeitafakari sana baada ya kuona yaliyotokea nchi ya chadi juzi kiongozi wao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikosea sehemu moja tu: Kuipenda CCM kuliko Taifa

    Tatizo moja tu ambalo Hayati Magufuli alikuwa nalo ni kupenda chama chake cha siasa CCM kuliko nchi ya Tanzania. Hii ilisababisha sana yeye kuangalia maslahi ya chama bila kujali maafa yake kwa taifa na nitatoa mifano michache 1. Kitendo cha kutumia usalama wa taifa kuchunguza wanasiasa wa...
  9. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Jicho la siasa: Hayati John Pombe Magufuli ndiye aliyerithi mafuriko ya Edward Lowassa. Nani tena kuyarithi mafuriko hayo!?

    JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!? Leo 13:45hrs 25/04/2021 Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa la Tanzania,na sampuli ya utofauti kabisa katika siasa na uongozi ndivyo vilivyowainua watu na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanaolilia legacy ya Hayati Magufuli someni alichoandika Bollen Ngetti

    Nawasalimu wanabodi. Hili andiko ameandika Mwandishi Bollen Ngetti katika ukurasa wake wa Facebook. Nami nalisukuma kwenu nzima nzima bila ku-edit. ______________________ KULILIA LEGACY YA MAGUFULI NI UJINGA Na Bollen Ngetti INACHEFUA sana na kutia kinyaa kuona, kusoma au kusikia watu wazima...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu: asema kuna Ishara ya Umagufuli bila Magufuli mwenyewe

    Wakati akihojiwa na DW! Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Kwanini Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipenda sana wimbo wa "Baba" wa Stamina na Prof. Jay?

    Habari wanajamvi..! Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
  13. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
  14. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"? Nimesikitishwa...
  15. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Magufuli Vindicated on Covid-19 Testing

    Full article here Was Tanzania vindicated on Covid testing claims? Was Tanzania vindicated on Covid testing claims? Tuesday, 20 April 2021 11:24 Written by Sonia Elijah...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini sitamsamehe Hayati Magufuli

    Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta. Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa; 1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

    Hivi ndivyo ilivyokuwa
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Dkt. Magufuli mwenye Mtazamo tofauti na Hayati Magufuli

    Mara kadhaa, mama Samia anasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Huenda ni watu aina moja kwa sababu wametokana na uchaguzi mmoja. Ukifuatilia kauli zake hasa katika hotuba ya leo, dira ya Taifa katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo na Ilani ya CCM vinaonyesha tofauti kubwa katika utekelezaji...
  19. matumbo

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli. Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli. Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
Back
Top Bottom