magufuli

  1. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli? Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake. Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa...
  3. barafuyamoto

    JamiiForums Tanzania Magufuli Bus Terminal hakuna mabadiliko yoyote, ni kama imetelekezwa

    Habari zenu, Inasikitisha ila ndio ukweli, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kituo hiki mara ya mwisho nilifika kabla JPM hajafariki, ingawa kilikua hajikakamilika ila kulikua na kurupushani kidogo ukiona wajenzi wanafanya kazi. Leo nimepita tena ila sijaona mabadiliko yoyote makubwa...
  4. data

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakukumbusha tu kwamba unamalizia mbio aliyoianza Hayati Magufuli. Umempokea tu kijiti. Usijisahau

    Tunaokupenda tunakwambia ukweli mapema. Umepokea tu kijiti. Inashangaza sana uko bize na teua tengua teua tengu. Mbio yenu inaisha 2025. Tatua kero alizoziacha uliyempokea kijiti. Swaga za kukabidhiana magari na majumba sisi hazituhusu. Na tunafuatilia kwa kina juu ya kuahirishwa kwa mechi ya...
  5. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke. Hakuna anaejali. Unasikilizwa kwa mbinde. Meneja hapatikani. Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje! Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%. Hali ni mbaya sana...
  6. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya kwenda kumjulia hali na kumpa pole Mama Janeth Magufuli?

    JE, KUNA UBAYA KWENDA KUMJULIA HALI NA KUMPA POLE MAMA JANETH MAGUFULI!? Kwanza nilimuona mtoto wa Hayati Rais Magufuli akisema mama yao hajisikii vizuri tangu Mzee alipotangulia. Baadae nikaona habari ya Baba Mdogo kupita Chato akielekea Kigoma na watoa habari walisema amekwenda kumjulia hali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

    Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada. Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter. Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi. Philip Mpango naye...
  8. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
  9. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Magufuli alichukia wawekezaji au alichukia wawekezaji janja janja?

    Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi. Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii...
  10. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania Mashauri sita yaliyosababishwa na Serikali ya John Pombe Magufuli: Kugharimu mabilioni ya kodi za Watanzania

    Habari Wana JF, Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali. Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...
  11. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kushangilia kifo cha Rais Magufuli kilinikwaza sana

    Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha! Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa...
  12. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

    NIMEPATA MTOTO WA KIUME;JE NIMUITE JOHN POMBE MAGUFULI!? Leo 17:15hrs 02/05/2021 Namshukuru Mwenyezi Mungu,Muumba wa mbingu na dunia kwa kunitendea tena,mara zote nilipokuwa kwenye shida nilimuomba Mungu nikikumbuka mema aliyokwishanitendea nae hakuniacha kamwe,sawa sawa na andiko langu la tar...
  13. ankai

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli hakuamua kuwa mkweli

    Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama hivi ambavyo ameumbuka. Imagine alikuwa na sababu gani ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Magufuli wamefanana kwa lipi?

    Rais wetu mama Samia anapenda kusema yeye na Mwendazake ni kitu kimoja?, lakini kimatendo tunaona utofauti , mama kafanya mabadiliko kuanzia serikali yake hadi kwenye sekretari ya chama, tumeona watu waliokuwa vipenzi wa mwendazake kawaondoa kwenye nafasi zao, kwenye kodi anataka wananchi walipe...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

    Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
  16. The only

    JamiiForums Tanzania Picha za Hayati Magufuli zitolewe maofisini

    Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli Nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpya Samia Suluhu Aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha Serikali haina mikakati...
  17. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu; Nitaongeza mishahara kabla sijaondoka madarakani-Rais Magufuli

    KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI. Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli kusema atatekeleza ahadi hiyo kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, hata hivyo, hakuweka bayana ni...
  18. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

    Mapema Sana wakati anaapisha wateule wake wa Mwanzo Rais Samia alisema kuna tatizo kubwa la Coordinations serikalini. Leo nimeona hili tatizo kati yake Rais na waziri wake Jennista Mhagama. Na lack of coordination Kwa ujumla kutoka IKulu kwenda chini Kwa watu Wengine. Kama Samia alikuwa anajua...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake. Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya hayati Magufuli kufariki 'mikutano ya injili' imeanza

    moja ya dalili ya kuwepo kwa biashara haramu ya unga ni utitiri wa mikutano ya injili ikifanywa na watu wasiokuwa na haiba wala karama ya kuwa wachungaji wala watumishi wa Mungu. dalili zimeanza kuonekana. mikutano hiyo huambatana na safari za kuenda nje zisizoeleweka malengo yake. pia hutokea...
Back
Top Bottom