magufuli

  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Ezra Chiwelesa: Natambua Juhudi za Hayati Magufuli Kututoa kwenye Pori la Burigi

    Mbunge wa Biharamulo, Ezra Chilewesa akiwa Bungeni ametambua juhudi za Hayati Magufuli kwenye jimbo lake kwa kuhakikisha anawatoa kwenye pori la Burigi ambalo lilitumika kwenye utekaji na unyanyasaji wa watu wa Biharamulo kwa muda mrefu na kuwa sehemu ya kujivunia. Mbunge Ezra amesema pamoja na...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Magufuli anasalitiwa

    Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemee mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama. Makada waliyokua wanasimamia mapambano...
  3. Usher-smith MD

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aliwahi kuhojiwa na Chombo cha Habari?

    Toka aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi anafariki, rais Magufuli aliwahi kufanya mahojiano na Chombo chochote cha Habari? Mwenye link anisaidie.
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Most Legendary President, John Pombe Magufuli

    Amongst all his predecessors John Pombe Magufuli stands out as the most legendary President who toiled his blood for Africans, Tanzanians particularly to benefit from their natural wealthy and resources and that one alone made him a lot of enemies, He nullified the Mangungo wa Msovero contracts...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

    Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika lakini nikawa navuta fikra. Je, ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi?, Nikasema pengine ni kwa "Rhetoric" zake za kutukana Wazungu na kuwaita Mabeberu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hawa akina Ole Sabaya na Kakoko ndio wanachafua Legacy ya hayati Magufuli

    Kiukweli Ole Sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua Serikali ya Awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na makandokando kibao. Kwa namna alivyoijenga CCM wilayani Hai DC Ole Sabaya aliaminika kama kijana mzalendo...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

    Wasau wa JF, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paulo Kagame. Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Makinikia kusafirishwa nje ya nchi iliruhusiwa utawala wa Hayati Magufuli, Rais Samia analaumiwa bure

    Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini...
  10. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuweka mifumo imara nchini kunaogopwa?

    Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa. Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo? Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee...
  11. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno na matendo yake, Rais Samia alikuwa njiapanda wakati wa Hayati Magufuli?

    Kila mmoja sasa anajua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais wa Mwendazake Hayati Dr. John Pombe Magufuli. Tunajua pia kuwa Rais Samia alichaguliwa kwa kura zilezile za Mwendazake mwaka 2015 na 2020. Alikuwa msaidizi nambari moja wa Mwendazake. Lakini, kikatiba Mwendazake ndiye...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sio Magufuli na hawezi kuwa Magufuli

    Huwa napenda kupitia kwenye mitandao ya kijamii kuona namna gani waTanzania wanamchukuliaje Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Jicho langu limeona, Rais Samia anasupport kubwa katika mtandao wa Twitter kuliko Instagram na Facebook ambapo maoni dhidi ya aina ya uongozi wake yanaonekana kuwa...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

    Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea. Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi. Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa...
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliwachukia Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya kwa makusudi

    Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania. Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi. Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu. Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona...
  15. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ubadilishwe jina na kuitwa "Magufuli" kisha makao makuu yawe wilaya ya "Chato" mwaka 2031

    Good evening jamiiforums. Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi; Kwanini mkoa wa Geita...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

    Namnukuu Mbowe ''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

    Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu. Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa Mafundi Magari waliokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli yatolewa

    JESHI la Polisi kitengo cha Usalama barabarani, limetoa mafunzo kwa mafundi magari waliyokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kutambua vifaa ambavyo vipo kwenye magari hayo. Mafunzo hayo yametolewa leo Mei 29, 2021 na Mkuu wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alikataa kuongeza mikoa kwa kuwa inaongeza gharama, alisema la muhimu wananchi wapatiwe huduma

    Magufuli alipoombwa kuugawa mkoa wa Tabora ambao unastahili zaidi kugawanywa kuliko huko Chato alijibu na kusema hawezi kugawa mikoa kwa sababu ni gharama, Pia alishaombwa kuugawa mkoa wa Morogoro na akatoa majibu hayo hayo. Leo Hoi tunasikia mkoa wa Chato umegawanywa kilazima licha ya wananchi...
  20. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Dr. David Bell: Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu

    Mchambuzi kwenye gazeti hilo ambaye ni mfanyakazi aliyepita wa shirika la afya duniani (WHO) amesema kitendo cha Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu hasa akina mama, wazee na watoto. Mchambuzi huyo amesema kwenye nchi ambazo walifungia watu...
Back
Top Bottom