Nyalandu: Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kushangilia kifo cha Rais Magufuli kilinikwaza sana

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
928
1,000
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa CHADEMA wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!

Nyalandu ameendelea kusema utamaduni wa kushangilia matatizo ya wengine hakuuzoe, amebainisha kuwa Tundu Lissu alipopigwa risasi yeye Nyalandu alienda kumsalimia na hakuna kiongozi yoyote wa CCM aliyempigia simu kumuonya lakini yeye alipoenda kwenye msiba wa kiongozi mkuu wa nchi Chato ,wapo viongozi wa CHADEMA walimtukana.
 

Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,530
2,000
Daaaah nmemkumbuka Mzee wa Kazi na Bata!

Ila si neno hizo ndio Siasa za Kiafrika!
 

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
5,873
2,000
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa chadema wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!...
Akubali kuwa sasa ccm kumenoga sababu Kikwete karudi ikulu kupitia mlango wa uani
 

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,858
2,000
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa chadema wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!...
Anatafta sababu ya kujustify kurudi kwake. Mzee mbona hawana tabu na wewe usharudi tulia tu.
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
9,098
2,000
Lazaro Nyalandu akiwa anahojiwa Clouds kwenye kipindi cha 360 amesema alikwazika sana kuona viongozi wa chadema wakishangilia kuwa ni bora huyu bwana aondoke tupate raha!...
Hahaahaaa haa! Mbona hata huko alikokwenda, wapo wengi tu walioshangilia yaliyomsibu mzee baba?

Kama ni kuwakimbia walioshangilia limo kwenye agenda zake, basi hata huko alikokwenda akae mkao wa kuondoka.
 

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,098
2,000
Huyo jamaa ana mke mzuri na hivyo ili kumgharamia lazima amrehemu shetani.

Crew ya mkewe wakina Jacklin mjane wa mengi,Mke wa bashungwa.Hapo pesa mzee.

Sasa huko Chadema ni kiharakati zaidi hakuna Guap yaani pangu pakavu mke lazima akimbie.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom