magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kitongoji cha Sokoine. Asema amehamia Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais Magufuli amejitokeza katika kitongoji cha Sokoine jijini Dodoma kwa ajili ya kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Baada ya kujiandikisha, amewaambia wakazi wa eneo hilo kuwa kwa sasa yeye ni mwenzao na ameshahamia rasmi kwenye Ikulu ya Chamwino. Hivyo yeye ni mwenzao...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli amepania kurejesha kwa nguvu mfumo wa chama kimoja nchini

    Tokea mwaka 1992, nchi yetu iliamua kuirejesha nchi hii kwenye mfumo wa vyama vingi na mfumo huo ukaingizwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 3(1) ambayo inatamka wazi kuwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ni nchi ya vyama vingi" mwisho wa...
  3. JamiiForums Tanzania Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) nchini Tanzania itaanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kuanzia Januari mwaka 2020. Hayo yameelezwa leo Jumanne Novemba 19, 2019 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Lawrence Museru wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya miaka minne ya MNH tangu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mwambe " kutulizwa" na Rais Magufuli sasa nitamchukulia Tundu Lissu fomu ya kugombea Uenyekiti wa Chadema

    Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe. Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, yawezekana Kardinali Pengo ametuonyesha "moshi mweupe" wa mrithi wa Rais Magufuli mwaka 2025?

    Hawa maaskofu ndio wamepokea kijiti kutoka kwa Mtume Petro hivyo sauti na maono yao hutoka kwa Mungu. Kardinali Pengo ndiye pekee hapa nchini Tanzania mwenye kura ya kumchagua Baba Mtakatifu (Papa) wa dunia nzima. Nijuavyo mimi kumchagua Papa ni jukumu gumu na zito kuliko lile la kumtabiri...
  6. JamiiForums Tanzania Swali Butu: Mambo haya 4 Magufuli anayafanya tofauti na Marais 3 waliomtangulia! Nani anabisha?

    Na. M. M. Mwanakijiji Yote tisa, kumi tuseme ukweli. Kuna mambo ambayo mtu anaweza kuamua kuyachukia dhidi ya Rais Magufuli. Mtu anaweza kuamka na kuapa kwa jina la miungu na mababu zake ya kwanini hataki kulisikia jina la Rais Magufuli. Tena mtu anaweza akaamka hata usiku wa manane kama mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkoa wa Dar ataka viongozi wa dini kutoa azimio kumuunga mkono Magufuli

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amewataka viongozi wa dini kutoa azimio la kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais wa Tanzania, John Magufuli. Amesema miaka minne tangu Magufuli alipoapishwa kuwa Rais amefanya mambo makubwa ambayo hawakuyategemea. Ametoa kauli hiyo leo...
  8. JamiiForums Tanzania Ombi Maalumu kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Ndugu Dkt. Magufuli na Watanzania

    Ni matumaini yangu makubwa kuwa Wanachama wote wa huu Mtandao wa JamiiForums mpo salama kabisa na Mwenyezi Mungu anabariki japo najua Changamoto za hapa na pale kwa Mwanadamu haziepukiki ila Kikubwa ni kutokata tamaa na Kumtumainia Yeye tu Maulana / Mola kwani Yeye ndiye mpangaji na mtoaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanataka Uwanja wa Mwanza uitwe Magufuli international Airport

    Heshima kwenu, Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo. Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kama unapenda nchi fikiria baada yako

    Magufuli anafanya kazi nzuri kwa ujumla hasa ukusanyaji kodi, miradi ya msingi na kurudisha heshima kwa kupunguza upotevu wa mali za Serikali. Lakini kuna vitu ambavyo haviko vizuri 1. Kwanza hakuna mikakati ya kubirosha mifumo ili iweze kwenda bila kutegemea watu. Hakuna mpangilio mzuri wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tutafutiwe milioni 54 na Magufuli

    Kama idadi ya Watanzania ni milioni 54, kwanini serikali isitutafutie Sh milioni 54. Hapo kila Mtanzania atapata milioni 1 tufanye biashara.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua mtendaji taasisi ya utafiti wa madini

    Rais John Magufuli RAIS John Magufuli, amemteua Dk. Mussa Budeba, kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Anaripoti Faki Sosi … (endelea) “Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa, uteuzi wa Dk. Budeba umeanza leo...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya wamfagilia Magufuli

    WABUNGE wa Kenya wamemfagilia Rais John Magufuli, kutokana na kusimamia vizuri mapato na matumizi na ujenzi wa miradi, ambayo thamani ya fedha inaonekana katika utekelezaji wake nchini. Wakizungumza katika ziara nchini ya kujifunza namna Mfuko wa Jimbo unavyofanya kazi na kutembelea miradi...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Kwanza: Rais Magufuli - Kipimo Mara Mbili cha Ujasiri na Uthubutu

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni dikteta uchwara? Labda! Ni bosi mkali mwenye ukarimu? Inawezekana! Ni kiongozi Mwafrika kwenye utofauti fulani hivi? Bila ya shaka! Kiongozi ambaye Watanzania kwa muda mrefu walikuwa wanamtamania na hatimaye kumpata? Ndiyo! Tangu kuchaguliwa kwake miaka minne iliyopita...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kwa wale msiojua Bunge limebakisha mikutano miwili tu Februari na Aprili 2020 kabla Rais Magufuli hajalivunja rasmi

    Spika wa bunge mh. Ndugai amesema Bunge la 11 ambalo yeye ndio analiongoza limebakiza mikutano miwili tu yaani Februari na Aprili 2020 kabla halijavunjwa rasmi na Rais Magufuli. Spika Ndugai alikuwa anaweka uelewa sawa kwa wananchi ili tuweze kwenda pamoja kama kuna jambo limesahaulika basi...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli anataka kuigeuza Tanzania kuwa mali yake binafsi?

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utawala huu wa awamu ya tano na nimekuja na "conclusion" kuwa Rais Magufuli anataka kuigeuza nchi hii ya Tanzania kuwa Mali yake binafsi na yeye anaamini kuwa atakalosema yeye ndiyo sheria na litatekelezwa! Tunajua wazi kuwa Rais Magufuli kabla hajaingia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Asingekuwa Rais Magufuli barabara zetu zingekuwaje kwa sasa?

    Jana tarehe 12/11/2019 katika uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa, Rais Magufuli alisema kati ya mambo ambayo atamkumbuka Mzee Mkapa ni lile alilokubali wazo lake la kuanziswa kwa Mfuko wa Barabara (Road Fund) licha ya sehemu kubwa ya Baraza la Mawaziri kukataa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula. Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
  19. JamiiForums Tanzania Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Heshima wakuu, Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda. Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua Kitabu cha maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Rais Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua Kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…