Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,012
Reaction score
26,164
Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki

Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya kuongea?

Magufuli alipopewa nafasi ya kusalimia KANISA, alianza kuongea kama kawaida yake kwa kujiamini kulipopitiliza na bila kujali yupo madhbahuni , aliongea maneno ya kejeli na dhihaka kwa WAPINZANI NA anao waita "Mabeberu"

Jiulize, alipoanza kuongea, baada ya dakika mbili, akiwa amevalia koti la suti la drafti/viboksi ,aliiingiza mkono kwenye koti lake la suti, mfuko wa ndani akatoa KIKARATASI-KIMEMO, akaanza kusoma "hints" na kugeuza "MADHABAHU TAKATIFU" kuwa jukwaa la SIASA, akapiga porojo alizojuwa " jambo hili ni kinyume na KANUNI ZA KKKT na askofu mkuu Shoo ameona hilo na hatua kali zitachukulia hivi karibuni.

Yesu aliwatoroka wazazi wake, aliingia hekaluni, akakuta mafarisayo wanafanya BIASHARAAKAPINDUA MEZA ZAO NA KUWAFURUSHA, akawaambia IMEANDIKWA NYUMBA YA BABA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NA SI PANGO LA WANYANGANYI!

MBOWE ni mlutheri, alikwenda kanisani kusali , hakuomba kufanya siasa wala hotuba, anafahamu neno la Mungu linakataa kufanya hivyo hasa pale unapodanganya kwa maslahi binafsi kama takwimu za corona zinavyofichwa.
MBOWE AHUTUBIA TAIFA, MAGUFULI AHUTUBIA KANISA!

Spika Ndugai anakuja kusema Mbowe hana heshma kuzungumza baada ya Raisi/Magufuli kuhutubia, Swali kwa Ndugai,MBOWE alikuwa ahutubie toka juma lililopita mkamkamata mkamuweka ndani, na kutaka kujua ataongea kitu gani, mkamuachia na siku ya JUMAMOSI CHADEMA walitoa ratiba yao na kusema JUMAPILI SAA SABA MCHANA ATAONGEA NA WATANZANIA, habari ya Magufuli ATAHUTUBIA KANISAL LA KKKT HAIKUTANGAZWA na hakuna aliyejua, sasa nani kavamia hotuba ya mwenzake?
 
Alikuwa akihubiri,

Mbona wahubiri ni wengi, Kwa nini uliamua kumfuatilia yeye peke yake?

Si ungemsikiliza hata Gwaji... Duh!!

Endelea kutukana Dini za watu,
 
Watanzania wengi sana,kutoka vyama vyote,wanapenda kuwaona viongozi wao katika majukwaa ya kidini na wanasiasa wanaichukua hiyo hali kama fursa kwao.
 
Alikuwa akihubiri,

Mbona wahubiri ni wengi, Kwa nini uliamua kumfuatilia yeye peke yake?

Si ungemsikiliza hata Gwaji... Duh!!

Endelea kutukana Dini za watu,
Vyombo vya habari vilitulazimisha kumuangali yeye tu HUKO MADHABAHU YA KKKT, wewe kupitia TBC ulikuwa unampata GWAJI-BOY mzee wa TOTOZ?
 
Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki

Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya kuongea?

Magufuli alipopewa nafasi ya kusalimia KANISA, alianza kuongea kama kawaida yake kwa kujiamini kulipopitiliza na bila kujali yupo madhbahuni , aliongea maneno ya kejeli na dhihaka kwa WAPINZANI NA anao waita "Mabeberu"

Jiulize, alipoanza kuongea, baada ya dakika mbili, akiwa amevalia koti la suti la drafti/viboksi ,aliiingiza mkono kwenye koti lake la suti, mfuko wa ndani akatoa KIKARATASI-KIMEMO, akaanza kusoma "hints" na kugeuza "MADHABAHU TAKATIFU" kuwa jukwaa la SIASA, akapiga porojo alizojuwa " jambo hili ni kinyume na KANUNI ZA KKKT na askofu mkuu Shoo ameona hilo na hatua kali zitachukulia hivi karibuni.

Yesu aliwatoroka wazazi wake, aliingia hekaluni, akakuta mafarisayo wanafanya BIASHARAAKAPINDUA MEZA ZAO NA KUWAFURUSHA, akawaambia IMEANDIKWA NYUMBA YA BABA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NA SI PANGO LA WANYANGANYI!

MBOWE ni mlutheri, alikwenda kanisani kusali , hakuomba kufanya siasa wala hotuba, anafahamu neno la Mungu linakataa kufanya hivyo hasa pale unapodanganya kwa maslahi binafsi kama takwimu za corona zinavyofichwa.
MBOWE AHUTUBIA TAIFA, MAGUFULI AHUTUBIA KANISA!

Spika Ndugai anakuja kusema Mbowe hana heshma kuzungumza baada ya Raisi/Magufuli kuhutubia, Swali kwa Ndugai,MBOWE alikuwa ahutubie toka juma lililopita mkamkamata mkamuweka ndani, na kutaka kujua ataongea kitu gani, mkamuachia na siku ya JUMAMOSI CHADEMA walitoa ratiba yao na kusema JUMAPILI SAA SABA MCHANA ATAONGEA NA WATANZANIA, habari ya Magufuli ATAHUTUBIA KANISAL LA KKKT HAIKUTANGAZWA na hakuna aliyejua, sasa nani kavamia hotuba ya mwenzake?
Chezea pesa wewe? kwenye pesa hata Yesu Masihi alisalitiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kulihutubia Kanisa pia munampa kichwa

Magufuli alikuwa akilihadithia kanisa mambo ya Mwanae kujifukiza na kula malimao
 
Freeman Mbowe Mwenyekiti na Kamanda wa Anga la Tanzania ndie aliyelihutubia Taifa

Wakati huohuo Mwenyekiti wa Ccm alikiwa akilihadithia Kanisa
 
Back
Top Bottom