Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,146
- 79,301
Things JPM said and Kenyan media rediculate him only to be proven right by WHO
Things JPM said and Kenyan media rediculate him only to be proven right by WHO
yes n he has been right several time though he mentioned of testkits by China! Tanzania has resorted to other testing methods!Huyu huyu padlock si ndio alisema kuwa vipimo vya corona kutoka WHO haviaminiki? Kwamba vipimo hivyo vinatoa majibu kuwa machungwa yako positive?
Weka hiyo.clip kama amesema vipimo.ni.vya whoHuyu huyu padlock si ndio alisema kuwa vipimo vya corona kutoka WHO haviaminiki? Kwamba vipimo hivyo vinatoa majibu kuwa machungwa yako positive?
Wakishamaliza kuilamba ile hela ya mkopo IMF ndiyo wataondoa lockdown, chezea wajanja wa gvt ya kenya, wenzenu walishayapiga mahesabu faster namna ya kuiiba hela ya mkopo wa COVID19Kunyaland they are always idiot! Now as long as their masters have said they will praise them as usual!
yes n he has been right several time! Tanzania has resorted to other testing methods!
Mkenya Dereva alitest positive Uganda akarudia kutest Kenya akawa negativeHuyu huyu padlock si ndio alisema kuwa vipimo vya corona kutoka WHO haviaminiki? Kwamba vipimo hivyo vinatoa majibu kuwa machungwa yako positive?
Wanaendelea kuzika wafu wao usiku wa manane.Now i am waiting to see whether shutting down of Kenya-Tanzania border will make coronavirus infections in Kenya decline!
Nimependa hiyo"Duniya ina ajabu ... Tanzania wana Magufuli lakini amewaachiya uhuru , Kenya tuko na Uhuru lakini ndio katupiga magufuli ..." 😂😂😂😂😂
yes n he has been right several time though he mentioned of testkits by China! Tanzania has resorted to other testing methods!