MAJARIBIO Hatari kumi ambayo Rais Magufuli na Serikali yake waliyokumbana nayo na jinsi yalivyozimwa kishujaa

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,901
1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasem a tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30

2:Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
PIGO LA PILI.

3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie tusifanye kazi watuletee misaada kwa masharti yao JPM akasema no HAPA KAZI TU wakashindwa.
PIGO LA TATU

4:Wakaleta vipimo feki ili watanzania wengi waonekane na corona tena wakatabiri wagonjwa wa corona watafikia laki5 hadi mwezi may JPM akapeleka mapapai na oil wakashindwa
PIGO LA NNE

5: Wakaanza kutangaza vifo kwa kila anayekufa kuwa kafa na corona ili watz wapate hofu na kufa JPM akainuka na kusema watz tusiogope Corona ni ugonjwa kama mengine tusiwe na hofu tukaitikia na kwa sasa hakuna tena taarfa zao za vifo
PIGO LA TANO

6: Madereva wa Tanzania kila anayepimwa anakutwa na corona ili tu waue soko LA utalii wetu lakini hakuna anayekufa wala kupona hii ilitaka kuzuia wageni wanaotak kuja nchini wajue Tz kuna corona JPM akasema wapimeni upya huku wakakutwa hawa corona Baba akasema Fungua utalii na hakuna kuwaweka karantini

PIGO LA SITA
Ghafla kukaibuka vifo vya ghafla vya mfululizo kuanzia wabunge,wakuu wa wilaya,makada wa ccm na watumishi wa serikali kwa lengo la kuidanganya dunia kuwa Tanzania corona is a big agenda,na kuwatisha hofu watanzania,baba ali tulia akadeal na vyombo vya ulinzi na usalama hatimae leo hii HATUSIKII VIFO VYA MFULULIZO kama mwanzo.

PIGO LA SABA
Mataifa ya Africa mashariki yakaanza kuchafua taswira ya taifa kwa ku report kila visa vyao vya corona vinatoka Tanzania,ili kuteka soko la utalii na biashara,wakashauriana wanafunga mipaka,Baba hakuwa jibu,walipijibu wakuu wa mikoa Tanga,Arusha ghafla wenzetu nzige wakapanda bei zaidi ya nyama ya ng'ombe.

PIGO LA NANE.
IMF&WORLD BANK walitaka kutukopesha pesa,baba akawaambia"badala ya kutukopesha hizo pesa,mtupunguzie mzigo wa madeni tunaweza kujimudu' ghafla WHO,wakatangaza kuondoa Tanzania Katika mataifa serious yanayopambana na COVID-19..

PIGO LA TISA.
Wachungaji wapumbavu kufunga makanisa ili kutia shinikizo kwa baba ati afunge mipaka,baba akawajibu akasema"Hata makanisa hamkujenga nyie,waachien watanzania wasali"

PIGO LA KUMI.
Shinikizo la kuifunga Dar es Salaam ili watu wasitoke wala kuingia.Mzee akasema "Dar ni kitovu cha biashara,sifungi mipaka kwa ugonjwa ambao sijui utakaa hadi lini" jumapili ni kilele cha maombi ya Shukran kitaifa,#TUMEPONA

Kama hujajua siasa za mabeberu basi hutaelewa njia anayoitumia raisi wetu Chuma John Pombe Magufuli.
##VIVAJPM, Nawe Ongeza Mapigo Mengine yaliyo waingia Sawasawa.

WAMTUMAINIO BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI HAWATATIKISIKA MILELE DAIMA.
 
Huu uzandiki

Huku Lumumba buku 7, kule Ufipa buku 10. Mnachuchanganya sana jamani, hem' acheni mambo yenu.
 
Jitahidi magu akuone utapata kacheo fulani.
 
Back
Top Bottom