Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo
Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki.
Hata...
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda...
Nchi ipo salama Tundu Lissu anapigwa risasi saa 7 mchana au usalama ni kwa watanzania wapi?
Nchi ipo salama Akwilina anapigwa risasi mchana? Nchi ipo salama Lwejabe.
Azory, Ben Saanane wanatoweka mchana? huu usalama ni kwa wakina nani?
Nchi ipo salama Nape ananyoshewa bastola mchana?
Nchi...
Leo nimememsikia Raisi Magufuli akisema kwamba tunajenga SGR kwa pesa zetu 100%
Lakini wakati huo huo wote tunakumbuka kwamba mwaka huu Waziri wa fedha Dr. Mpango alitia sahihi na wakopeshaji 17 walioratibiwa na benki ya Standard Chartered Bank kutoa mkopo wa Trilioni 3.3 kwa ajili ya ujenzi wa...
Habari wana JF
Leo wakati Rais Magufuli akivunja bunge, katika hali inayoonyesha hofu ya kutojiamini kuelekea Kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, ametadharisha kuwa watakokuwa wanatoa matusi watashughulikiwa!
'Matusi' ni neno la jumla sana, na sidhani kuna watu waliomuelewa ni matusi gani ambayo...
Siku ya leo Rais Magufuli aliitumia kwa kulihutubia Bunge la 11 na kulivunja rasmi, huku wabunge hao akiwaaga wakielekea majimboni mwao, kwenda kwenye mchakato wa kujaribu bahati yao, ili kama watarejea tena kwenye Bunge lijalo la 12 mwakani baada ya uchaguzi Mkuu.
Kama tunavyokumbuka kuwa...
Rais ametangaza kwamba tarehe 29/06/2020 shule zote zifunguliwe.
Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana. Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee na maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa awali.
Ameyasema hayo akihutubia wananchi kupitia kikao...
Jana saa nane ya usiku dege la fly Emirates lilitua uwanja wa kimataifa wa BoT kushusha maburungutu ya T-shirts za wabunge. Wengi wao wameona sms zao walipoamka asubuhi. Hivyo wana furaha hasa wale wa CCM ambao wao huangalia zaidi mavazi yao kuliko kitu kingine! Sasa kwa hizi T-shirts za full...
Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.
Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo
Maendeleo hayana vyama...
Ninapenda tumia muda huu kukushukuru Mzee wangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya watu watanzania kwa safari ndefu ya miaka mitano kutuongoza wa Tanzania hasa ktk kipindi kigumu chakubadilisha fikra za watanzania nakutufanya kufanya kazi kwa bidii na kutopenda kuwa omba omba. Hii haikuwa Rahisi na...
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu Dr. Gharib Bilal wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakisubiri kusikia hotuba ya kulivunja Bunge leo kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli.
Akiwa katika mahojiano katika kipindi cha ZUNGUMZA cha Clouds Plus Mwenyekiti wa CHAUMA, Hashimu Rungwe amezungumza mambo mbalimbali.
Mh. Rungwe amesema "Ikitokea Mhe.Rais Magufuli akaniteua kwenye nafasi yoyote ya uongozi nitamwambia aniache kwa sababu nina shughuli nyingine"
"Sihitaji...
Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema...
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwa zinaendana mazingira na hali halisi ya Tanzania.
Waziri wa Maendeleo...
Ofisi ya Msajiri wa NGOs Makao makuu Dodoma kufuatana na Janga la Corona na vilevile kurahisisha kupatikana kwa huduma zao kwa urahisi wameanzisha mfumo wa kwa kusajiri NGOS kwa mtandao yaani E-REGISTRATION.
Unatakiwa utume documents zako zote kwa mtandao na kama kutakuwa marekebusho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.