Mzee Mwinyi alituachia PPF Tower, Mkapa katujengea National stadium, Kikwete kaacha Mwendokasi na UDOM, sasa twende na Rais Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
31,411
2,000
Tunakumbushana tu alama njema zilizowekwa na viongozi wetu wastaafu.

Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu.

Kwa Dkt. Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda ya chuo kulia naona ubungo flyover na kushoto naziona Magufuli hostel.

Nitaendelea.........!

Maendeleo hayana vyama.
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
4,772
2,000
1. Stiegler's gorge HP
2. SGR
3. Uundwaji wa meli lake victoria, tanganyika na nyasa.
4. Ununuzi wa ndege na upanuzi wa viwanja vya ndege na vya kisasa kabisa.
5. Ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa( fly overs, madaraja ya busisi across lake victoria na tanazanite bridge. Pia barabara nane ubungo - chalinze, ujenzi na upanuzi wa barabara za kisasa unaoruhusu magari kupishana hata matatu hivyo kupunguza ajali.)
6. Usambazaji wa umeme kuanzia kwenye tarafa, kata hadi vijiji.
7. Vituo vya afya bwerere. Tena vya kisasa na huduma ya oparesheni ili kupunguza vifo vya uzazi.
8. Miradi ya maji na usambazaji wa maji maeneo mengi.
9. Uboreshaji wa vyuo na sekondari zilizichoka.
10. Wanafunzi kukaa chini imebaki historia.
11. Ufufuaji na usimamizi wa mazao na kumnufaisha mkulima( pamba, mkonge, chikichiki, korosho, ufuta.) Pamoja na uondoaji wa tozo.
12. Usimamizi wa mapato ya serikali uliowezesha serikali kuwa na akaunti moja badala ya 2000.
13. Usimamizi mzuri wa vita ya corona. Hapa kila mtanzania alijua tumeisha. Jamaa alitia ujasiri wa hali ya juu sana.
14. Upigaji na upigwaji kwenye ardhi umepungua kwa asilimia 90.
Mengi sana unaweza kuandika vitabu.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
8,413
2,000
Jiwe juu ya mawe hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusambaza woga kwa watumish,kuharibu uchumi wa Nchi,kuleta nongwa ,fitina na kujipendekeza miongoni mwa makada wa mboga mboga
Itakuwa vigumu Sana nyie kupewa nchi. Wananchi tunaona yanayofanyika nyie pingapinga Fc mnawafanya wananchi wajinga hawaoni yanayofanyika. Mbowe katafuna 8 bl mnakataa eti kajificha anakwepa kuhojiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
2,810
2,000
1. Stiegler's gorge HP
2. SGR
3. Uundwaji wa meli lake victoria, tanganyika na nyasa.
4. Ununuzi wa ndege na upanuzi wa viwanja vya ndege na vya kisasa kabisa.
5. Ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa( fly overs, madaraja ya busisi across lake victoria na tanazanite bridge. Pia barabara nane ubungo - chalinze, ujenzi na upanuzi wa barabara za kisasa unaoruhusu magari kupishana hata matatu hivyo kupunguza ajali.)
6. Usambazaji wa umeme kuanzia kwenye tarafa, kata hadi vijiji.
7. Vituo vya afya bwerere. Tena vya kisasa na huduma ya oparesheni ili kupunguza vifo vya uzazi.
8. Miradi ya maji na usambazaji wa maji maeneo mengi.
9. Uboreshaji wa vyuo na sekondari zilizichoka.
10. Wanafunzi kukaa chini imebaki historia.
11. Ufufuaji na usimamizi wa mazao na kumnufaisha mkulima( pamba, mkonge, chikichiki, korosho, ufuta.) Pamoja na uondoaji wa tozo.
12. Usimamizi wa mapato ya serikali uliowezesha serikali kuwa na akaunti moja badala ya 2000.
13. Usimamizi mzuri wa vita ya corona. Hapa kila mtanzania alijua tumeisha. Jamaa alitia ujasiri wa hali ya juu sana.
14. Upigaji na upigwaji kwenye ardhi umepungua kwa asilimia 90.
Mengi sana unaweza kuandika vitabu.
Mkuu umesema ukweli lakini umeharibu kutia kachumbari yenye chumvi nyingi na pilipili za mwendokasi
 
Ed Kawiche

Senior Member
May 28, 2020
145
250
1. Stiegler's gorge HP
2. SGR
3. Uundwaji wa meli lake victoria, tanganyika na nyasa.
4. Ununuzi wa ndege na upanuzi wa viwanja vya ndege na vya kisasa kabisa.
5. Ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa( fly overs, madaraja ya busisi across lake victoria na tanazanite bridge. Pia barabara nane ubungo - chalinze, ujenzi na upanuzi wa barabara za kisasa unaoruhusu magari kupishana hata matatu hivyo kupunguza ajali.)
6. Usambazaji wa umeme kuanzia kwenye tarafa, kata hadi vijiji.
7. Vituo vya afya bwerere. Tena vya kisasa na huduma ya oparesheni ili kupunguza vifo vya uzazi.
8. Miradi ya maji na usambazaji wa maji maeneo mengi.
9. Uboreshaji wa vyuo na sekondari zilizichoka.
10. Wanafunzi kukaa chini imebaki historia.
11. Ufufuaji na usimamizi wa mazao na kumnufaisha mkulima( pamba, mkonge, chikichiki, korosho, ufuta.) Pamoja na uondoaji wa tozo.
12. Usimamizi wa mapato ya serikali uliowezesha serikali kuwa na akaunti moja badala ya 2000.
13. Usimamizi mzuri wa vita ya corona. Hapa kila mtanzania alijua tumeisha. Jamaa alitia ujasiri wa hali ya juu sana.
14. Upigaji na upigwaji kwenye ardhi umepungua kwa asilimia 90.
Mengi sana unaweza kuandika vitabu.
jamaa mwendo kasi kumbe?
 
harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,593
2,000
Chadema wanachukia kuona maendeleo yanaletwa na Ccm hasa chini ya JPM. Roho inawauma sana. Nafikiri walitaka hizi pesa wapewe ili wazitafune. Maana wamezoea kutafuna ruzuku.
Unauwzo mdogo sana wa kufikiri we mateka wa lumumba.

Hii nchi inajengwa na walipa kodi na sio ccm wala chadema wala magufuli lakini kwa wewe unaetegemea dada yako amfurahishe mumewe ndio upate kula hautakaa ufikirie hilo!
 
Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
14,051
2,000
Yote 9, 10 ni miradi ya kimkakati JNHPP (Julius Nyerere hydropower Project), SGR (Standard Gauge Rail) na kufufua Air Tanzania pamoja na kuboresha Meli zetu, Uvuvi kuimarishwa kupitia Tafico, Bomba la mafuta kutoka Uganda, vile vile Kubadili mfumo wa madini na kuweza kunufaika na madini yetu (Tanzanite, gold, diamond pamoja na madini mengine). Kuwezesha Stamico kuweza kutoa gawio kwa Serikali ikumbukwe JKN alipoianzisha ili iwe kichocheo cha mafanikio lakini ilkuwa inatunza walanguzi na wafujaji wa mali za Watanzania leo hii wamekiona cha mtema kuni.

Hiyo miradi ni game changer na uchumi wa Tanzania utaanzan kupaa. Hivi tunavyoongea hivi Tanzania imakwisha kuwa juu ya Kenya kwenye Moody's Credit ranking nk. Majirani wanalia kilio cha mende.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom