magufuli

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

    Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa. Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hongera awamu ya tano, hongera Rais Magufuli ziwa Victoria limependeza

    Nilihamia kanda ya ziwa miaka ya 1990, nilipofika sokoni nilikutana na samaki (sangara) wakubwa kama mimi, nilishangaa sana maana vilikuwa ni vitu vigeni kwangu, walikuwa wanatumia mashoka na mapanga kutukatia vipande kwa fedha uliyokuanayo, miaka ikasogea na ukubwa wa sangara ukazidi kuwa...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  6. Dam55

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Watanzania wanaishi maisha ya hofu na mashaka katika utawala wa Rais Magufuli. Je, hili lina ukweli wowote?

    Nikiwa kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na makala fupi ya chombo cha habari maarufu Al Jazeera, katika makala hiyo wameeleza kuwa utawala wa Magufuli umeonyesha jitihada kubwa za kunyanyua Uchumi wa Tanzania lakini pia Watanzania hawako salama chini ya utawala wake. Masoud...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Magufuli kupambana na mafisadi TANESCO, sasa umeme sio kero tena na haukatiki muda mrefu

    Tanesco iligeuzwa chombo cha kisiasa ambacho mafisadi waliitumia Tanesco kuifanya serikali ya CCM ichukiwe na wananchi ili upinzani ushinde 2015 karibu na uchaguzi mkuu nilikuwa Arusha mjini umeme ulikuwa unazimwa siku nzima unawashwa saa saba usiku na kuzimwa saa tisa usiku. watu vyakula...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika. Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%. Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
  10. Mzukulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru says he is not interested in clinging to power after 2022

    President Uhuru Kenyatta has promised to respect his constitutional 2-term presidential limit when it expires in 2022. Speaking during a live discussion with a US-based Think Tank- Atlantic Council- the President downplayed claims that the looming referendum would see him seek another term in...
  11. mangikule

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema

    MAGUFULI AMEHARIBU, ATAFUNDISHWA NA LISSU UCHAGUZI wa Oktoba mwaka huu 2020 ni kati ya Ubaya na Wema. Kifupi, ni kati ya Faraja yetu na Masimango ya wenye Madaraka. Siku ya Uchaguzi ukiiweka tiki yako kwa Magufuli, ujue umeuruhusu tena Ubaya uendelee kwa miaka mingine mitano. Utakuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania BBC: Jinsi Rais Magufuli anavyopambana na corona na "mabeberu"

    Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam 18 Juni 2020 Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo. Lakini suala hilo la...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bulembo: Taratibu za CCM haziruhusu mwanachama mwingine kuchukua fomu ya kugombea urais zaidi ya John Magufuli

    Aliyekuwa mbunge wa kuteuliwa, Abdallah Bulembo, amesema taratibu haziruhusu mwanachama mwingine kuchukua fomu ya kugombea urais zaidi ya John Magufuli. “Kwa mujibu wa sheria kama wewe ni mwana CCM, Rais anatakiwa awe katika vipi viwili sasa unatokea wapi kuchukua fomu? Unajadiliwa kikao...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga marufuku wapiga debe kwenye stendi ya Dodoma. Ataka wafanyabiashara wasisumbuliwe

    RAIS Dk. John Magufuli, ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, kuhusu stendi kuu ya mabasi iliyopo jijini humo ikiwemo kuhakikisha wajasiriamali wadogo, waendesha bodaboda na daladala kutosumbuliwa. Rais Dk. John Magufuli. Magufuli ametoa maagizo hayo leo kwa njia ya...
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli akivunja sheria za barabarani wakati akitokea ofisi za CCM alipoenda kuchukua fomu ya urais

    Hatimaye kampeni zimeanza, tumeanza kujishusha kwa wananchi. Haya maving'ora kwa sasa yatatupunguzia kura. Rais Magufuli leo anaonekana Dodoma akiwa na gari binafsi huku akitanua bila wasiwasi wowote.
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma. Maendeleo hayana vyama!
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Dr. Bagonza kumbuka Rais ni taasisi. Je, ulitaka Magufuli asizungumzie Uchaguzi kisa ni Mgombea?

    Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli. Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu...
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli "theoretically" ameutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na chaguzi zilzo huru, lakini "practically" hatutakuwa na uchaguzi ulio huru!

    Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki. Hata...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ulipotaja kuwa umezalisha ajira milioni 6 huoni kuwa unanidanganya hata mimi?

    Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda...
Back
Top Bottom