Historia huwa ni mwalimu mzuri sana. Na hii hii historia unaweza kuitumia kujua nini kinafuata.
2000 ya Mkapa ilikuwa rahisi sana sababu kwa miaka 5 yake watu walishamuelewa na kumkubali zaidi.
2010 ya Kikwete ilikuwa mtelezo sana sababu raia walishamuelewa sana, hata wale waliokuwa...
Kachero ni kachero tu!
Najua sitavunja sheria wala kanuni hapa.
Bernard Membe, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT Wazalendo 2020. Historia yake ya kisiasa na utumishi inajulikana. Itoshe tu kusema ni Mtanzania ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali za kisiasa na kitaifa.
Tangu...
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.
M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
Everyone won't believe just like it was in Tunisia. The country was quiet, peaceful and life was normal.
But just a slip of mistreating the vegetable hawker, Mohammed Boaziz, led to the unstoppable revolutionary political hurricane branded as "Arab spring".
Mr. Lisu is made up of the same...
Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata.
Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa.
Chanzo: East Africa Radio
Kiukweli Rais Magufuli ni Rais wetu ndiyo ila ana udhaifu mmoja mkubwa sana. Ni mtu wa kufika bei haraka kama utamfanyia vitu viwili tu
1. Mpe sifa na ukuu
2. Mpe fedha
1. Sifa na Ukuu
Ukitaka kuamini rejea majina yote yaliyokatwa kwenye ubunge utagundua ni wengi ambao walikuwa "nyutro" na yeye...
Sababu kuu iliyowapelekea kamati kuu ya CCM kumteua Gwajima kuwania ubunge jimbo la Kawe ni nguvu ya ushawishi aliyonayo huyu askofu kwa kundi analolichunga. Kwa hakika Gwajima ana washirika Tanzania yote nao humtii sana.
Wakati akiwa CHADEMA nao washirika wake wote walimuunga mkono, aliporudi...
Mathayo 11:2-26
Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona...
Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma.
Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
=========
Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
Nilisoma kwenye mitandao Stephen Masele amekubaliana na kampuni ya Disneyland kuja kuwekeza Simiyu nilishangaa sana.
Labda ilikuwa uzushi ..
Uwekezaji wa dollars zaidi ya bilioni 10 uishie Kwa mbunge..
Lakini vyovyote vile idea ya kuwaleta Disneyland kuwekeza ni golden idea ...kama kweli...
Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka?
Simba sio timu ya kupewa ruzuku.
Timu kubwa kuliko zote east Africa Kwa fan base inampa yeye Mo 'free promo ya Bidhaa zake zote. Hadi...
Tangu aingie madarakani Rais Magufuli amevuruga diplomasia ya nchi yetu kwa kiwango cha hali ya juu kuliko wote waliomtangulia.
Kipindi cha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa maarufu sana katika diplomasia ya kimataifa huku yeye mwenyewe akiheshimika duniani lakini pia tulikuwa na...
Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi.
Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia...
Shehe wa mkoa wa DSM Alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi.
Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais...
Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017.
Akihutubia umati wa wananchi...
CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu..
2015 alikutana na mgombea bubu
Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia
Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na...
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, tumeshuhudia kila mbinu imetumika kuhakikisha mwenye mawazo mbadala hatoi maoni yake kwa namna yoyote ile. Kwa miaka 5 vyazo vyote vya habari vilitekwa, kila chombo cha habari kilihakikisha kinatangaza sifa za mfalme, kuna TV zimediliki hata kuacha...
Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.
Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.
Jacob...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.