Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,395
- 3,901
Mimi nafuatilia kwa umakini sana hoja za wapinzani wetu ADC,NCCR MAGEUZI, CHADEMA, SAU, ACT WAZALENDO, CUF, kwa Leo nimemfuatilia kwa umakini sana Tundu lisu labda pengine angekuwa na jipya la kuifanyia nchi yetu lakini nimegundua kuwa ametembelea kwenye mafanikio makubwa ya Magufuli. Ahsante sana TAL, keep it up!
MOSI
TAL ametambua uwepo wa miradi mikubwa iliyofanywa na Serikali kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa kubwa la umeme, na ujenzi wa miundombinu mikubwa kama reli hongera sana TAL kwa kumuongezea credit Magufuli.
Pamoja na kuyaongelea katika mitazamo hasi lakini tunashukuru kwa kutambua kuwa miradi hiyo IPO na imejengwa kwenye Kampeni sisi tutajikita kwenye hoja za kuelezea zaidi umuhimu wa miradi hii tutatumia nyimbo na ngonjera kufikisha ujumbe kwa Watanzania.
Tunaenda kusheherekea mafanikio haya makubwa ya serikali ya awamu ya Tano tunaenda kufanya sherehe ya miezi miwili tutaimba tutacheza na mnamo tarehe 28/10/2020 tutamtuza Magufuli tuzo ya umahiri wa mafanikio aliyoyafanya kwa miaka 5 kwa kumpa ushindi wa zaidi ya 90%
TAL ameongeleo kero za wakulima na wafanyakazi, nampongeza sana mgombea urais wa Chadema kwa kutambua matatizo haya lakini yaweza kuwa labda alikuwa Ubeligiji hajajua kuwa kero anazozisemea Magufuli aliziongelea 2015 kuwa na yeye zinamkera na amezishughulikia kweli kweli kisawa sawa amezikemea kisawa sawa amezidhibiti vilivyo amefukuza watu wengi waliowachokonoa wakulima na wafugaji amefuta tozo zaidi ya 84, yaani Magufuli ametenda uliyoyasema tutamtuza kwa ushindi wa zaidi ya 90% tarehe 28/10/2020.
Kitu pekee ambacho sijapenda kutoka kwako ni kupunguza kejeli leo, maana bila kejeli wewe si maarufu tena; bila kashifa wewe si maarufu tena kwa wafuasi wako wasio na busara ambao sisi hao wafuasi wako tunawatafuta sana ukipunguza kashfa hawakusilizi na ukiongeza kashifa wanakupuuza, kazi unayo.
Mheshimiwa Magufuli hajaharibu uhusiano wowote na nchi yoyote Duniani bali anaiheshimisha Tanzania tofautisha Kiburi na msimamo Magufuli ameonyesha msimamo wala si kiburi ameonyesha msimo kuzuia uporwaji wa Tanzanite yetu yaani Tanzanite ya Tanzania iuzwe zaidi kenya na India hafu na wewe ukenue meno ushangilie kuwa tuna uhusiano mzuri wanakuona huna akilli.
Tofautisha Beberu na mwekezaji yaani mwekezaji akiwa mnyonyaji tunamuita beberu na beberu akiwa na win-win situation tunamuita mwekezaji, mbona simple tu mtu au binadamu akiwa hospitali anaitwa mgonjwa akiiba anaitwa mwizi.
Mimi najua hata beberu ni kupe mwenye njaa mnyonya damu balaa huyu huwezi kumshangilia.
Labda mmesahau kuwa nyie hao hao mliojiita wapinzani mlilalamika sana juu ya safari za Rais, mlituupuuza sana juu ya Rasilimali za nchi yetu, mlitupuuza sn juu ya uhaba wa ndege tumefanya zaidi ya matarajio yenu mbona mwataka kuwa nguzo ya chumvi
Kuhusu majanga labda wewe hujui vizuri kwa sababu ulikuwa ubeligiji ni hivi Tanzania tumepambana na janga la Corona ambalo ni janga baya zaidi kuikumba Dunia kwa ufanisi makubwa sana hatukuguswa hata na rungu wala kiboko tumevuka salama kabisa huu ushindi wa Corona kwa kumtanguliza Mungu mbele unaharamisha hoja yako tumeona kwa macho huruma ya Magufuli ameandikwa na vitabu mbalimbali vya Dunia na ameingizwa kwenye jarida la watu wenye upeo mkubwa zaidi wa akili Dunia unaambiwa akili na IQ ya Magufuli iko level moja na akina Albeit Einstein baba wa Quantum Physics and relativity.
TAL Magufuli anakuzidi akili Mara nyingi sana ukipata 5% ya kura utakuwa umepigana sana jiandae kisaikolojia usije ukaumia mara ya pili maumivu ya kisaikolojia ni makali sana na yanatesa kuliko kawaida.