magufuli

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli kama utafanikiwa kurejea tena Madarakani 2020 - 2025, ufanye Mtandao huu wa JamiiForums kama ndiyo Mshauri wako Mkuu

    Mpaka hivi leo huku Kampeni zikiwa hata bado tu hazijafikia Nusu yake (achilia mbali Robo yake) na kwa hali ambayo nimeanza Kuiona ni rasmi sasa kwamba kama Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli angekuwa anapenda Kusoma ama Mada au Michango ya wana JamiiForums hapa (tena inayomkosoa) zaidi nina uhakika...
  2. Abdul Mohammed

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

    Mbeya leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

    Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM. Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali...
  4. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inakuwaje Magufuli anatupangia tumchague nani na nani tusimchague?

    Hii ni zamu yetu wananchi kuamua nani tumchague na nani tusimchague kwenda kutuwakilisha. Maajabu sasa huyu Rais anayemaliza muda wake amesikika akiongea kwa jazba kuwaamrisha wananchi nani wamchague. Hii si sawa maana legitimacy ya uongozi ni baada ya approval ya wenye nchi. Hivi kumbe siye...
  5. chakii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake yanayohusu mpira dhidi ya Mmiliki wa Simba SC, Mohammed Dewji. Dkt. Bashiru amaema“Naona Hamis Kigwangalla...
  6. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Asilimia 100 ya tabaka lililojichokeaga awamu zote, ambalo awamu ya tano linaogopwa na wenye pesa, watampa kura zote Rais John Pombe Magufuli

    ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 14:45hrs 06/09/2020 Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
  7. Makala josee

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli ni kweli anajua maana ya kunadi sera?

    Inasikitisha katika nyakati kama hizi za Demokrasia komavu kukutana na hoja dhaifu au za ajabu Akiwa Lindi mgombea wa chama cha mapinduzi kwa nafasi ya Urais ndugu John Magufuli ambae kwa mujibu wa sheria ni Rais hadi hivi sasa, amenukuliwa akitishia Wananchi kutokuwapelekea Maendeleo kwa...
  8. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio ya watoto kwenye mkutano wa Rais Magufuli Jijini Mwanza maana yake nini?

  9. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
  10. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM kuhutubia kwa kisukuma huko Mwanza. Huu ni ukabila. NEC tunasubiri kuona hatua kali dhidi yake

    Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma. Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania nzima, sasa kusema kwamba kama anamwaga sera, mtu wa kule Tanga anamuelewa vip? Huu ni udhaifu...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli sikufichi, hutopata kura yangu Ng'ooo!

    MAGUFULI SITAKUCHAGUA, WEWE ULE BATA, MIMI NISOTE. Na, Robert Heriel. Haya ni maamuzi yangu, wala sitaki mtu ayaingilie. Nimeamua kwa akili zangu. Bahati njema mimi sio Mnafiki, nyeupe ni nyeupe, Nyeusi ni nyeusi. Mimi sio mtoto mdogo, sio mjinga. Naishi leo, sidanganyiki na kesho. Hayo mambo...
  12. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimeshangaa Magufuli kusema ameongeza mishahara kwa watumishi wa Serikali kimya kimya miaka yote mitano

    Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya " Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa 'Ahadi' hii iliyo muhimu sana kwa Mtanzania yoyote yule Rais Magufuli acha Kuendelea Kupiga tena 'Kampeni' kwani tayari umeshashinda Urais 2020

    "Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli Nipashe Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Siwezi kudanganya watumishi wa umma kuwa nitawapandishia mishahara!

    Hayo ameyasema Leo akiwa mkoani Mara kwenye kampeni za kuomba kuchaguliwa kwa miaka mitano ijayo. Ahadi hii imeniacha na maswali mawili Kama ifuatavyo: 1 Je huyu mgombea anawachukuliaje watumishi wa umma? Huwaona Kama wanaokula bure?, au makondoo tu wasio na lolote.! 2 Nini mtazamo wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

    Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa. Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hii hapa hotuba ya Tundu Lissu Dodoma, ambayo Magufuli ameamua kumjibu akiwa Musoma.

    ..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma. ..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli. ..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wafanyakazi msidanganywe serikali imepandisha mishahara kwa kupandisha madaraja na kupunguza kodi ya PAYE

    Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka. Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
  18. kidadari

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mwambieni Magufuli kwenye kampeni tunaahidi mapya ya kufanya sio kuzungumzia uliyoyafanya

    Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura. Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa .Sasa tuambie tukikupa miaka mngine utafanya nini sio kujinadi na yale uliyoyafanya. Ya 2015-2020...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anapoomba tumchague kwa miaka mingine mitano tusisahau pia

    Utawala wako Rais Magufuli Yangu 2015 Hadi Sasa unapofikia miwshoni kabisa, Tulioyashuhudia sio tu Ni maajabu, lakini ni Maangamizi ya Taifa letu kuanzia misingi yake mpaka kesho yake. Kwa uchache tujikumbushe maajabu ambayo yameshatokea na hatajawai kuyashuhudia. 1. Watu Takribani 400...
  20. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Na Baraka Mina. Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
Back
Top Bottom