magufuli

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Gwajima umeteuliwa si kwasababu unapendwa bali ni kwasababu ya kundi lililo nyuma yako kura wapeleke kwa Magufuli

    Sababu kuu iliyowapelekea kamati kuu ya CCM kumteua Gwajima kuwania ubunge jimbo la Kawe ni nguvu ya ushawishi aliyonayo huyu askofu kwa kundi analolichunga. Kwa hakika Gwajima ana washirika Tanzania yote nao humtii sana. Wakati akiwa CHADEMA nao washirika wake wote walimuunga mkono, aliporudi...
  2. lembu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli Ndie Mesiah wa Tanzania, Tumpe Kura Nyingi Oktoba 2020

    Mathayo 11:2-26 Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
  4. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

    Barua yenyewe ndio hiyo, jisomee mwenyewe. ======
  5. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli chonde chonde muite Stephen Masele akupe wazo lake

    Nilisoma kwenye mitandao Stephen Masele amekubaliana na kampuni ya Disneyland kuja kuwekeza Simiyu nilishangaa sana. Labda ilikuwa uzushi .. Uwekezaji wa dollars zaidi ya bilioni 10 uishie Kwa mbunge.. Lakini vyovyote vile idea ya kuwaleta Disneyland kuwekeza ni golden idea ...kama kweli...
  6. The Boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mo ni tapeli, Magufuli atusaidie kumdhibiti

    Hivi huyu Mo anawezaje bila aibu kusema bado hajawekeza Bilion 20 Kwa mujibu wa mkataba Ila anachofanya sasa ni kuipa Simba 'ruzuku' ya bilioni 3 kila mwaka? Simba sio timu ya kupewa ruzuku. Timu kubwa kuliko zote east Africa Kwa fan base inampa yeye Mo 'free promo ya Bidhaa zake zote. Hadi...
  7. C

    JamiiForums Tanzania CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?

    Tangu aingie madarakani Rais Magufuli amevuruga diplomasia ya nchi yetu kwa kiwango cha hali ya juu kuliko wote waliomtangulia. Kipindi cha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa maarufu sana katika diplomasia ya kimataifa huku yeye mwenyewe akiheshimika duniani lakini pia tulikuwa na...
  8. eretzisrael

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Dkt. Magufuli

    Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi. Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Kitaifa la Kiongozi wa Dini kuombea Uchaguzi kufanyika 24/08/2020, mgeni rasmi atakuwa Rais Magufuli

    Shehe wa mkoa wa DSM Alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

    Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017. Akihutubia umati wa wananchi...
  11. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hiyo Mgombea wa CCM kwenye kampeni atakuwa akiongelea Madaraja tu? Kwake yeye Uhuru wa Raia si agenda

    CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu.. 2015 alikutana na mgombea bubu Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na...
  12. Nkobe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya mbinu hii, Uchaguzi wa 2020 tulidhani Magufuli atapita bila kupingwa

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, tumeshuhudia kila mbinu imetumika kuhakikisha mwenye mawazo mbadala hatoi maoni yake kwa namna yoyote ile. Kwa miaka 5 vyazo vyote vya habari vilitekwa, kila chombo cha habari kilihakikisha kinatangaza sifa za mfalme, kuna TV zimediliki hata kuacha...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA. Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake. Jacob...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni mwendo wa kimya kimya tu, ataelewa tu moto aliokuja nao umepoa, alijua Magufuli ni mshamba ameanza kuonja joto la nyungu

    Alikuja kwa mbwembwe bashasha na vitisho akaona kuwa mbinu za zamani za kamata kamata zitatumika hakujua kuwa Urais ni Taasisi inayobadilika badilika kama kinyonga Alipokuja alikuwa na tambo za kila aina mbwembwe bashasha vitisho alivyochomekewa na mabeberu Taasisi iliamua kutopambana na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vyama vya upinzani nchini Tanzania subirini dawa aliyonayo Kiiza Besigye katika kumtoa Rais Museveni, ili nanyi pia muiige na mumtoe Rais Magufuli

    Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki. ITV Tanzania Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

    Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi. Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Rais Magufuli angevishwa Kikwete angekuwa Rais mzuri mno kuwahi kutokea Afrika

    Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana. Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake. Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
  18. Chief Ortambo Ikumenye

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

    Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania. Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani. Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play...
  19. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti na Rais wangu Magufuli lazima 'asemwe binafsi' kwakuwa 'aliongoza binafsi'. Lissu na wengineo wako sahihi katika kumtajataja

    Kuanzia kwenye Kampeni zake mwaka 2015, Dr. Magufuli alijipambanua kuwa ataongoza Serikali ya Magufuli na si Serikali ya CCM. Na akayasimamia maneno yake ya kwenye kampeni, baada ya ushindi wake, kwa maneno na vitendo. Aliita Serikali ni ya Magufuli na si vingine. Mbunge Mstaafu wa Kilwa Kusini...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli na Tundu Lissu wote ni Wakatoliki wazuri. Je, Kanisa halioni umuhimu wa kuwapatanisha?

    Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana. Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa. Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema. Kwasababu ambazo...
Back
Top Bottom