Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera.
Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
Vita ya Corona dunia nzima inawasumbua kote kuliko na majeshi yenye nguvu na teknlojia ya hali ya juu na wenye huduma za afya bora duniani zenye madaktari bingwa wazuri duniani ikiwemo Ubelgiji wako hoi kusumbuliwa na Corona.
Nchi zenye elimu bora na waongea kiingereza kizuri ikiwemo kenya na...
Habari wana JF,
Mnamo mwaka 2015 JPM alijipigia chapuo sana kuwa ni Rais wa wanyonge. Sikuelewa sana, nikasema ngoja nijipe muda nione.
Baada ya mwaka mmoja tu nikaona dalili za wanyonge kuumizwa sana, huku akidai ananyoosha nchi. Sikuelewa!
Hapa chini nakudadavulia mambo ambayo yanaonesha...
Nashangaa kwanini watu wanaumiza kichwa juu ya ahadi za Raisi Magufuli wakati wa ziara zake za kampeni kuwa ni rushwa au la.
Labda kwanza nikubaliane na Rais Magufuli kwamba ni kweli yeye bado ndio wa raisi wa Tanzania, na ana haki ya kutoa hizo ahadi kama raisi - ingawa ni jambo la kushangaza...
Tunajua kwamba hata Magufuli anaposema "Nitajenga barabara" haimaanishi kwamba yeye ndiye mwenye hela au kwamba atakuwa saiti akijenga. Anatumia vyombo vilivyopo kujenga barabara n.k.
Tundu Lissu amefanikiwa kwa ushawishi wake na umahiri mkubwa wa kujenga hoja zinazowafanya waliopo madarakani...
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge...
Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu.
Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia sana na Rais Magufuli ameletwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania.
Gamanywa alikuwa katika majadiliano...
Nasema imejaa uonevu kupitia kupita maelezo kwa sababu ya haya;
1. Watumishi wa umma kutopandishwa madaraja kwa wakati na wala ndani ya miaka 5 hapakuwa na increments kwa mujibu wa sheria.Watumishi zamani walikua wanapandishwa madaraja baada ya miaka 3, kwa sasa mpaka miaka 5-7 ndio...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi.
"Kwenye mchakato...
Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020
Baada ya kuwasili na kukaribishwa, awasifia wana Tabora kwa ushiriki wao katika kutafuta uhuru. Amesifia Tabora ya leo kwa kuwa na nyumba nzuri nzuri...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa.
Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa'...
Viona mbali tulisema kwamba mzee baba kuwabana wapinzani wasifanye mikutano ni kuzuia waseme ya moyoni ili upate kujirekebisha. Ilikua ni wakati sahihi kuwaacha wazunguke kisha utathmini siasa zao majukwaani kisha uone madhaifu yao. Sasa umewaambia hakuna mikutano ya hadhara wajifungie kwenye...
"Niliposikia wenzetu eti watagawanya nchi hii vipande vipande nilishangaa sana, tulipopata uhuru Baba wa Taifa alituweka pamoja kwa maana ya kwamba umoja ni nguvu, unapomsikia mtu anasema akipata madaraka atagawanya vipande, jua wanapotaka kutupeleke siko" Dkt. Magufuli
"Kusema kila jimbo...
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida.
Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka
Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
UJUMBE MZITO KWA MAGUFULI NA CHAMA CHANGU CHA CCM
Mheshimiwa Rais wangu, Pole sana kwa majukumu yako ya uchaguzi. Unajitahidi sana kufanya campaign ya ushindi, kwa bahati mbaya mambo hayaendi vizuri. Napenda ni kosoe na nitoe ushauri, tunao muda wa kuwe kufanya mabadiliko yenye manufaa, na...
JE, UNAMUONAJE JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, MACHO YAKO YANAONA KAMA SISI?
Mwendi R.D
+255739333332
Serikali ya awamu ya tano kupitia kiongozi mahili Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli imefanya mambo mengi na makubwa ya kimaendeleo yanayopelekea wananchi wengi ikiwemo wanyonge na wenye hali ya...
Tundu Lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000.
Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa".
Tundu Lissu alisema vitambulisho vya...
Kichwa cha habari kinahusika.
Walau CCM kama chama pamoja na madhaifu yake mengi kuna mambo watanzania walikivumilia kutokana na mila zake. Licha ya chama kulea ufisadi na kuwalinda mafisadi kwa muda mrefu bado kiliishi kwenye misingi. Hatukuwahi kupata kiongozi mwenye madhaifu mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.