Dkt. Magufuli: Nikasema CCM lazima iongozwe na muuza ndizi (Dkt. Bashiru)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi.

Mwenyekiti wa CCM Dkt. Magufuli amesema palikuwepo mamilioni ya Wanaccm ambao wangeweza kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama lakini aliona lazima chama kiongozwe na muuza ndizi Dkt. Bashiru.

Wakulima Oyeeeee!

Maendeleo hayana vyama.
 
CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi.

Mwenyekiti wa CCM Dkt. Magufuli amesema palikuwepo mamilioni ya wanaccm ambao wangeweza kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama lakini aliona lazima chama kiongozwe na muuza ndizi Dkt. Bashiru.

Wakulima Oyeeeee!

Maendeleo hayana vyama.
Magufuri alimteua Dr Bashiru kutoka CUF kwenda ccm kuwa katibu mkuu
 
😂😂.Kwani wakati anamteua alikuwa anauza ndizi ?Tungemwona wa maana kama angeteua muuza ndizi kabisa. Siyo huyo aliyetembeza ndizi za bibi yake akiwa na umri wa miaka 7.
 
Kamanda watoto ni taifa la kesho. Hapa ndipo Ccm huwa inatuzidi kete. Hawa watoto wataipenda Ccm hadi uzeeni.
Maisha ndio huamua kuwa mpinzani au ccm,ukitusua kwa jasho lako utakuwa mpinza,ukitusua kwa kubebwa we ccm,ukifaulu shule mpinzani, ukifeli ccm, ccm ina mtaji mikoa ya wasio na mwamko wa elimu
 
Back
Top Bottom