magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

    Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976. Ni kampeni za kihistoria, karibu. ========== Updates; MIGORI, IRINGA LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli angeiendeleza vizuri Chato kwa kujenga Chuo Kikuu

    Ujenzi wa Chuo Kikuu Chato ungekua na justification ya kupeleka fursa ya elimu kwa watu wa ukanda wa Geita, Kagera mpaka Kigoma. Hili hata bungeni lingepita kirahisi na isingemletea kashfa. Chuo kikuu kinakusanya wanafunzi, hii huleta mzunguko wa hela kwa biashara hasa kwenye malazi, chakula...
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ipi nafasi ya wanawake kwenye utawala wa Rais Magufuli?

    Habari za wakati huu; Tunapoelekea kufanya uamuzi iwapo John Magufuli anafaa kupewa miaka mitano hebu tuitazame historia yake katika masuala ya Jinsi na Jinsia hasa mtazamo na misimamo yake kwa wanawake. Swali la kujiuliza ni ipi nafasi ya wanawake katika UTAWALA wa Rais Magufuli? Je, hali na...
  4. Nkobe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi NEC walimuita Magufuli na Kumhoji juu ya kauli ya "Mkurugenzi nakulipa mshahara, nakupa gari halafu umtangaze mpinzani!!"

    NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale alipowataka wakurugenzi wasitangaze wapinzani hata kama wameshinda?
  5. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli wenye ukali: Dkt. Magufuli lazima abadilike, runinga ya Watanzania aitazame na kuizingatia

    Iwe ameshinda au ameshindwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John P. Magufuli lazima abadilike. Lazima awe mpya. Hawezi tena na kamwe kubaki alivyo. Anapaswa kujirudi; kujitathmini; kujiangalia na kuwaangalia watanzania wake na kujiuliza bila kujiliza...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

    Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa. Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria. Rip Mlelwa Maendeleo hayana vyama! Mkuu wa mkoa wa Njombe...
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii ndio orodha ya watu watakaompigia kura Magufuli

    Habari za leo watanzania wenzangu, Natumai mu wazima wa afya njema. Leo nitatoa orodha ya watanzania watakao mpigia kura Magufuli siku ya oktoba 28. Naomba ufuatane na mimi ili upate kuelewa vizuri kama hujui. Basi yafuatayo ndio makundi ya watu hao. 1. Watu wenye akili timamu, wanaojua...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na historia isiyofutika

    Na Emmanuel J. Shilatu Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhuru ama kama ambavyo Hayati Moringe anavyokumbukwa kwa mapambano ya ubadhirifu wa mali za umma, pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  10. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aahidi kufumua madudu ya Magufuli

    Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameahidi kuwa akishinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, Serikali atakayoiongoza itafuta sheria zote zinazominya uhuru wa habari na haki za kiraia zinazotumiwa na Serikali iliyopo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

    Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu wamekariri. Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kura ya Mungu ipo kwa Lissu 2020: Mwaka 2015 Ilikuwa kwa Magufuli; wapi alikosea Magufuli? jionee

    MUNGU AMEMPA KURA LISU, JE WEWE UTAMPA NANI? Na, Robert Heriel Hata Mungu hufanya uchaguzi, Hata Mungu hupiga kura. Sio mwanadamu peke yake apigaye kura, hata Mungu Muumba wa Mbingu na ardhi hupiga kura. Katika Historia ya Biblia wapo watu kadhaa waliopigiwa kura na Mungu miongoni mwao ni...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shibuda alia ukata unamfelisha kufanya kampeni, amtaka Rais Magufuli awatumbue wasimamizi wa Uchaguzi waliovurunda!

    Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata. Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani. Chanzo: ITV...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Lissu

    Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo. Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

    Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele. Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena. Tundu Lisu atapewa kazi...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu ni kwanini Rais Magufuli atashindwa sana uchaguzi huu

    Hili tumekua tukilisema sana humu mara nyingi. Sababu kubwa Rais Magufuli kushindwa na Wapinzani tena kwa kura nyingi sana ni Ugumu wa maisha aliousababisha yeye na serikali yake. Watu wote nchi nzima wanalia na maisha magumu mzee hasikii kabisa. Mzee amekimbilia kuanzisha miradi mikubwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

    Na: George Kabadi Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili. MOSI, Uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa alikuwa na watu...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania GE2020 POROJO ILA KWELI: Swali la Ibrahim kwa Rais Magufuli

    Rais Magufuli alipopita Masanza aliwaeleza waziwazi wapiga kura kuwa hawatishi isipokuwa kama watafanya makosa ya kutomchagulia viongozi wa CCM watajuta! Tena akasisitiza kwa kisukuma kuwa, “haiwezekani chakula ulichokitunza kwa ajili ya mwanao ukakigawa kwa mtoto wa jirani. Sasa nichagulieni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli ukija Tanga, haya ndiyo yataweza kukupa kura za kishindo

    Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico. Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Dkt. Magufuli atema cheche

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa: Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia...
Back
Top Bottom