magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli na Tundu Lissu wawatakia maisha ya kheri wazee leo ikiwa Siku ya wazee duniani!

    Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM Dkt. Magufuli amewatakia kheri wazee wote katika kuadhimisha siku ya wazee duniani. Kadhalika mh Tundu Lisu mgombea urais wa JMT kupitia Chadema amewatakia kheri ya siku ya wazee duniani wazee wote. Maendeleo hayana vyama!
  2. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli anaweza kuiacha miradi ya SGR na STIGLERS haijakamilika, tafadhali Tundu Lissu uimalizie

    Najaribu kupima upepo wa siasa katika makundi ya kijamii kuanzia CCM wenyewe wengi hawampi Magufuli kura ingawa wanamchekea dharani, Makundi ya wafanya kazi, Wakulima na Wafugaji, Wavuvi na wafanyabiashara hakuna aliye tayari kuipigia CCM kura. Tunakutana nao mtaani hali hali ndivyo ilivyo sioni...
  3. Securelens

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana CCM Mkoani Songwe wameamua kudeki barabara kwa ajili ya ujio wa Dkt. Magufuli

    CCM kwa kuiga. Baadhi ya wananchi mkoani Songwe wakideki barabara kwa ajili ya kumpokea mgombea urais wa @ccm_tanzania @MagufuliJP #Uchaguzi2020 #OktobaTutawezana
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli: Tulikuwa tumekosa 'connection', hamkuwa na msemaji na ni makosa ya kuchagua kwa jazba

    Kampeni zinaendelea nchini na sasa Magufuli yuko Mbalizi amesimama kusalimia wananchi waliokusanyika barabarani akielekea Songwe. Baada ya kuongelea mengi pia ameongelea hali ya sekta ya maji Mbalizi na kusema kuna kipindi alipita eneo husika na alikuta tatizo la maji na wakaamua bilioni tatu...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Chato Airport ni kaa la moto lisilozimika kwa CCM na Magufuli. Sasa anaahidi kujenga Airport kama ya Chato kila anakopita...!

    Sasa hali si hali kambi ya mgombea Urais - CCM Mzee Pombe Magufuli. Chato Airport ya kijijini na shambani kwake inamtesa yeye, inawatesa CCM wote maana haina utetezi wenye macho na akili watu wakaelewa. Sasa kama kujifariji na kujidanganya, kila mahali anapopita anamwaga ahadi za kujenga Chato...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Endapo Magufuli atashinda, asitoze kodi Majimbo yatakayonyakuliwa na Upinzani

    Kila anapopita, Magufuli anawatisha Wananchi kuwa wakichagua upinzani hatawaletea maendeleo. Anayasema haya akijiamini kabisa utadhani ameshashinda uchaguzi. Endapo ngekewa itakuwa kwake akafanikiwa kushinda, Majimbo yote yatakayoongozwa na upinzani 'tunamtaka' asikusanye kodi huko, awaachie...
  8. commited

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sasa hivi tupo CCM asili na CCM Mpya, hii CCM Mpya ni kikundi kidogo sana cha Bashiru, Polepole na wahamiaji toka upinzani

    Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa, wala si kufanya chama kisonge mbele hata kidogo Wale CCM...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Luhanga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe kwa kipindi cha pili

  10. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Rais Magufuli ni mgombea Urais kama mimi na anasimama sehemu yoyote anasalimia na hazuiwi lakini mimi mnataka kunizuia

    RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA" KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kuna mgombea urais CCM aliwahi kupiga magoti akiomba kura tofauti na Magufuli?

    Bila shaka kampeni za mwaka huu ni ngumu zaidi ya zile za 2015 na hata za 1995. Jana tulishuhudia mgombea uraisi kupitia CCM akiwapigia magoti wananchi akiwaomba kura, Je, hii ni heshima kwao au maji ya shingo? Watu haohao anaowapigia magoti, ni haohao wanaoongozwa na Chama Tawala tangu uhuru...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

    Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani. ========= MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbarali, bendera za CHADEMA zikishushwa mbele ya polisi kabla ya Magufuli kupita

    Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA. ===== Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.
  14. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli kakataa treni ya umeme isifike Kigoma bali iende Mwanza?

    Habari za humu wadau, poleni na hongereni na pilika za kampeni. Juzi kati nimesikitishwa na kitendo cha mgombea kupitia kiti cha ccm ambaye kawaita watu wa kigoma kwamba wana akili sana, nawakosoa kwa sababu, Magufuli huyuhuyu kakataa katakata treni ya umeme isifike kigoma bali iende mwanza ...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

    Dah mambo magumu jamani!
  16. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wangu kwa Magufuli na CCM: IKiwa Magufuli ataacha kupiga kampeni atapata kura nyingi kuliko anavyoendelea kupiga kampeni

    Huu ni ushauri wangu wa dhati na wa kweli kwa Rais Magufuli na CCM wote. Magufuli aache kupiga kampeni. Nasema hivyo kwa sababu naamini kuwa kadiri anavyozidi kupiga kampeni wapo wapiga kura lukuki anawapoteza kirahisi kabisa. Nasema ukweli na ndivyo ulivyo. Aidha kama atalazimika kuendelea...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kampeni ya Dkt. Magufuli kuwania Urais 2020-2025 mikoani Iringa na Njombe (Sept 29, 2020)

    Leo mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya. Ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia ameelezea walishaanza na wamejitahidi kutoa huduma za bure kwa wazee, watoto wenye umri chini ya miaka...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Mchagueni Jah people kwa sababu hatuchagui digrii, mkiniletea wale wa alama ya "manati" sitawaelewa!

    Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu. Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli sera ni mali ya chama lakini si msaafu katika kampeni zako ongezea na yanayopendwa na Wananchi

    Kwanza nakupa pongezi kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa miaka mitano ya kutujengea miundombinu ambayo itakapokamilika itakuwa nyenzo nzuri ya maisha kwa wananchi wa kawaida ambayo kwa sasa wengi wao wanajifanya hawaioni, mladi kama bwawa la mwalimu nyerere utakaopunguza gharama za...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tuambizane ukweli, Magufuli anatumia kigezo gani kusema atashinda Uchaguzi?

    Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda Uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani? Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee Diwani na Wabunge wa CCM eti yeye atashinda tu, Je, anatumia kigezo gani? Anadiriki kuwaambia kuwa wasipochagua wabunge wa...
Back
Top Bottom