Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo, Kagera

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,635
2,000
Nimeamua kukaa huku pembezoni ili wakiliamsha kama kule Bukoba nisepe nisijekuingia kwenye karamu isiyonihusu.
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,902
2,000
Haya wana Bukoba fiesta hilo la bure ...jimwageni ila moyoni mnamjua Rais wenu wa moyoni ni nani!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom