Uchaguzi 2020 Namshauri mgombea wangu wa Urais CCM, Dkt. Magufuli aache kufanya kazi ya kumjibu Tundu Lissu, ni kazi ya kina Polepole

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu?

Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu ajielekeze kuwaeleza wananchi ni kitu gani atawafanyia watanzania endapo atapewa ridhaa tena.

Tuige siasa za Kikwete ambaye yeye alikua alijikita kueleza nini anatakawafanyia watanzania badala ya kumjibu Dr Slaa.
Huku ni kuingia mtegoni na kujikuta unacheza midundo ya ngoma anayoipiga mwenzako.

Hii kazi ya kumjibu Lissu ni ya kufanywa na kina Pole pole na Dr Bashiru na Heri James. Tuwe wakweli katika kushauri tuweke pembeni ushamba wetu vijana, tuache unafki ndio tutafanya siasa zitakazotufanya tubakie na dola siku zote.
 
Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele tumsaidia Rais na mgombea wetu ajielekeze kuwaeleza wananchi ni kitu gani atawafanyia watanzania endapo atapewa ridhaa tena.
Unajidanganya, hana la kuwaleleza watanzania, as long as aliamua kuwa dictator with a number of atrocities committed against his own people, surely he is going to fail! Atabaki na wale wanaofaidika na urais wake ingawa rohoni hawako naye! Bkoba wamemtolea uvivu!
 
CCM mnajibuje hoja kama hizi hapa?

Steven Makigo ni Swahiba wa Rais John Pombe Magufuli... hawakukutana barabarani!! Hawa wamesoma pamoja Lake Secondary School.

Akiwa kama waziri wa ujenzi, mwaka 2012 JPM alimteua Steven Makigo kuwa Mjumbe wa TEMESA. TEMESA hii ni ile ile ambayo ilinunua boti kwa mabilioni ya pesa huku boti yenyewe ikiwa na speed sawa na mtumbwi!!

Ni boti ile ile ambayo, ili kuwakata watu midomo wasiijadili, JPM yule yule akaipeleka boti hiyo jeshini! Yaani, Jeshi linapewa boti yenyewe mwendo wa kinyonga!!!

REMEMBER: Zabuni ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato iliweka sharti kwamba Contractor LAZIMA awe ni wa Kanda ya Ziwa!!

Yaani "National Project" inaweka condition ya ku-eliminate Watanzania wengine!!!!

Tena hapa tukumbushane kwamba, hiyo ni aina moja wapo ya Grand Corruption! YES, I mean it... a type of the GRAND CORRUPTION ambayo kwa makusudi watu wanaweka baseless conditions only to eliminate other competitors in favor of their guy!!!

SO, Kuna atakayeshangaa tukisema Mradi wa ujenzi wa Chato International Airport uliletwa maalumu ili tenda apewe Mayanga Construction Ltd, and ONLY Mayanga?!

Halafu ngoja, nimekumbuka!!

Hivi mnakumbuka JPM enzi zake akiwa Waziri wa Ujenzi akaja na "Wakandarasi Wazalendo"?!

Hoja tamu kweli kweli ambayo mtu ukiitia doa utaonekana unapingana na mtu anayekusudia kuwainua Wakandarasi Wazalendo lakini ukweli ni kwamba hiyo ilikuwa ni janja janja nyingine ya kui-favor Mayanga Construction!!

Wakati Wizara ya Ujenzi chini ya Magu ilipokuwa na mpango wa kujenga Daraja la Mbutu, Magu alijua kabisa Mayanga hatakuwa na ubavu wa kushindana na kampuni za kigeni na ndipo likaja suala la Wakandarasi Wazalendo, na Mayanga Construction akala shavu akiwa na "wazalendo" wengine!!
"Bukoba Mjini tulikosea mwaka 2015 kwa kuchagua upinzani , na hivyo kukata mawasiliano kati yetu na Rais Magufuli.Huu ni mwaka wa kujenga mnara wa mawasiliano,naomba wote tumchague Dk.Magufuli kwa nafasi ya urais,mnichague mimi kwenye ubunge jimbo la Bukoba Mjini pamoja na wabunge wote wa CCM,"amesema Byabato.

Kufanya siasa na mtu kama Lisu na mzee wa anga inabidi ujipange. Hawana cha kupoteza
Lissu anachokonoa jichoni kabisa,ni ngumu kukaa hivi hivi bila kupepesa macho!Watoto wa mjini wana kauli yao wanasema "kupiga spana"!
UVCCM haina budi kuamka sasa
 
Sasa kama mtu ameridhika na ujira wa buku 7 atapata wapi akili za kujenga hoja?
 
Nani atajibu
Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu?

Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu ajielekeze kuwaeleza wananchi ni kitu gani atawafanyia watanzania endapo atapewa ridhaa tena.

Tuige siasa za Kikwete ambaye yeye alikua alijikita kueleza nini anatakawafanyia watanzania badala ya kumjibu Dr Slaa.
Huku ni kuingia mtegoni na kujikuta unacheza midundo ya ngoma anayoipiga mwenzako.

Hii kazi ya kumjibu Lissu ni ya kufanywa na kina Pole pole na Dr Bashiru na Heri James. Tuwe wakweli katika kushauri tuweke pembeni ushamba wetu vijana, tuache unafki ndio tutafanya siasa zitakazotufanya tubakie na dola siku zote.
Ni Nani atajibu swali linalohusu Cheti Cha kuzaliwa?
 
CCM acheni chuki jengeni hoja kumjibu Lissu.Naona mnaumbuka achaneni na matusi.Hoja za TL zinatakiwa zijibiwe tena kwa vitendo.Kama hamkuongeza mishahara ya wafanyakazi miaka 5 ongezeni,mmevunja nyumba za watu bila fidia,lipeni fidia,hakuna ajira mpya miaka 5,toeni ajira.Mmeondoa fao la kujitoa,lirudisheni.Mmenyang'anya hela za rambirambi tetemeko la ardhi bukoba ,rudisheni.Hoja za kuwaita wahisani wenu wa maendeleo,usaid,DFID,Nida na wengineo , Mabeberu ni hoja mufilisi,hazina mashiko.Vinginevyo wananchi wanamsikiliza Lissu.Na ninyi endeleeni kuwaburudisha kupitia wasanii mbalimbali!
 
Umesahau fedha za coronavirus
 
Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu?

Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu ajielekeze kuwaeleza wananchi ni kitu gani atawafanyia watanzania endapo atapewa ridhaa tena.

Tuige siasa za Kikwete ambaye yeye alikua alijikita kueleza nini anatakawafanyia watanzania badala ya kumjibu Dr Slaa.
Huku ni kuingia mtegoni na kujikuta unacheza midundo ya ngoma anayoipiga mwenzako.

Hii kazi ya kumjibu Lissu ni ya kufanywa na kina Pole pole na Dr Bashiru na Heri James. Tuwe wakweli katika kushauri tuweke pembeni ushamba wetu vijana, tuache unafki ndio tutafanya siasa zitakazotufanya tubakie na dola siku zote.
mnajipambanisha eti? Magufuli kajibu wapinzani wote hadi Rungwe wa ubwabwa kajibiwa. Msipende kujikweza, na siasa za ushindani ni majibizano kwenye kampeni. Mnataka kujipa umuhimu kwamba mmejibiwa na rais, endeleeeni na kupinga maendeleo sisi tuna waona.
 
Back
Top Bottom