magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Je, kuna maendeleo ya watu na ya vitu?

    Hivi karibuni kumekuwa na hoja kutoka kwa vyama vya upinzani nchini hasa CHADEMA wakidai kuwa maendeleo yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Raisi Magufuli ni maendeleo ya vituna sio maendeleo ya watu. Hoja yao inajikita kwenye mambo kama ujenzi wa bwawa kubwa la umeme...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

    Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi? Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu moja hadi nyingine kufanya biashara bia vikwazo wala shida ya kimiundombinu. Tunataka kuona uchumi wa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Kinyerezi, Segerea: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 28, 2020 ========= Hotuba ya Dkt Magufuli...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

    Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki. "Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

    Wanabodi, Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo hili muhimu la kiusalama Security alert kwa Serikali yetu, tuwe makini sana na Marekani: Kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga Kutu-Libya? Kabla ya hapo...
  6. JamiiForums Tanzania Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo aibukia KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsai, mchungaji amshukuru Rais Magufuli kwa flyover za Ubungo

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa. Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Kutambua Mchango Wake Mkubwa Kwenye Sekta Ya Elimu Nchini, Skuli Mpya Na Ya Kisasa Yapewa Jina La Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefungua Skuli ya Sekondari Mwanakwereke, ambayo hivi sasa inatambulika kwa jina la Skuli ya Sekondari ya Dkt. John Pombe Magufuli. Katika ufunguzi huo, Dkt. Shein amesema katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Sera za uchumi za Magufuli sio rafiki na haziwezeshi upatikanaji wa ajira nje ya mfumo wa Serikali

    Nilipoandika kuhusu kufungwa kiwanda cha tumbaku Morogoro mjini na karibia ajira 1000 kupotea wale wenye vyama vyao kama kawaida yao wakaleta siasa. Watu hao 1000 wapo mtaani. Pembeni yake palikua na kiwanda cha kutngeneza nguo. Hicho nacho kimesimamisha uzalishaji ingawa kwa hicho sababu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kuiombea nchi ya Kenya Mungu aiepushie Corona

    Rais Magufuli ameshiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kitaifa yaliyofanyika nchini Kenya kuliombea taifa hilo Mungu aliepushie ugonjwa wa Corona. Maombezi hayo yaliyofanyika Ikulu ya Kenya yalishirikisha viongozi wote wakuu wa nchi hiyo na Rais Magufuli alishiriki akiwa nchini Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Jamana Printers, Wapiga kura mil.29 wa Tume ya Uchaguzi, Asilimia 84 za Ushindi wa Magufuli zinazotajwa kila mara na Ali Bashiru na Polepole

    Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini.. Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha. Halafu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mimi siko tayari kuwa miongoni mwa watakaosema "I am sorry Magufuli"

    Waungwana, na ijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania. Anyway, hivi mnakumbuka hali ilikuwaje kipindi cha Kikwete? Wengi wa wapiga ramli walifikia mpaka hatua ya kutabiri kuwa CCM...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli hajawahi kushindwa, hatashindwa

    Wakuu, salaam! Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au uchaguzi mkuu hakuwahi kushindwa na haitatokea ashindwe. Katika uchaguzi tunaoenda kuufanya tarehe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu mnyang'anye Magufuli advantage ya vyombo vya habari vya umma na wasanii

    Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi. Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya. Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi...
  15. JamiiForums Tanzania Happy birthday Jakaya Mrisho Kikwete

    Leo Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anatimiza miaka 70. Mimi binafsi namkumbuka kwa mambo machache aliyoyafanya: 1. Daraja la Kigamboni 2. Daraja La Kilombero 3. Daraja la Umoja 4. Daraja la Maragarasi 5. Chuo Kikuu cha Dodoma 6. Hospitali ya Mloganzila 7. Julius Nyerere International Airport...
  16. JamiiForums Tanzania Acheni hizo nani 'aliyewadanganyeni' kuwa Rais Dkt. Magufuli hapendi Wasema kweli na wanaopingana nae pia?

    Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili. HabariLeo Haya sasa wale 'Visokolokwinyo'...
  17. JamiiForums Tanzania Turudishe ustawi wa jamii katika taifa letu, wakati ni sasa

    Kwa upande wa CCM, huduma za afya zinachukuliwa kama huduma za msingi zinazolenga kupatikana kwa urahisi, gharama nafuu na kuweza kujenga taifa la wachapa kazi. Na mifano ya awali ya kilichofanyika kama kuongeza vituo vya afya kutoka 718 hadi 1,205; zahanati kutoka 6,044 hadi 7,242; hospitali za...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

    Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa. HOTUBA YA DKT. MAGUFULI ....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Magufuli anajua Rais wa Malawi alikuwa Mpinzani?

    Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu. Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli naomba uwashughulikie haraka waliofisadi mradi wa stendi mpya Mbezi, CHADEMA wamekiri mradi ni sh bilioni 51 siyo 71!

    Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa. Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya mradi ni sh 51 bilioni na kwamba hadi yeye anaondolewa ofisini kulikuwa hakuna ongezeko lolote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…