MAGUFULI: Nawashukuru viongozi wa dini kwa Dua na Sala zao. Ninajua wagombe wenzangu wa ubunge wameeleza yote na mikakati mbalimbali ya chama cha mapinduzi kama ilivyofafanuliwa kwenye Ilani.
Nchi yetu imebarikiwa kwa mambo mengi sana, binadamu wa kwanza, mti mrefu, mlima mrefu kuliko yote...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ameahidi kufanya Kituo cha Afya cha Mwanga kuwa hospitali ya Wilaya.
Kwa sababu hiyo kutakuwa na hospitali mbili za wilaya ambayo amesema wilaya hiyo ina hospitali ya wilaya ambayo iko Usangi.
Amesema hakuna ubaya...
CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga.
Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli.
Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda...
July 1, 2020 is the date that will go down as remarkable day in Tanzania history as the first and starting date for implementation of the fifth and final Government Budget to end the first five years of the fifth regime but more important a day the World Bank recognized Tanzania as a...
Leo Dkt Magufuli alimtafuta waziri Jaffo kwenye simu lakini hakupatikana na kuamua kumtafuta katibu mkuu na mazungumzo yao yalikuwa hivi.
MAGUFULI: Katibu mkuu hujambo?
NYAMHANGA: Sijambo, shikamoo mheshimiwa Rais
MAGUFULI: Marahaba, habari yako injinia Nyamhanga
NYAMHANGA: Salama mheshimiwa...
POLISI mkoani Morogoro wamemkamata mtu aliyetambuliwa kwa jina la Isihaka Exavery (20) mkazi wa Mkundi, manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kuchana picha za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli.
Kijana huyo pia anatuhumiwa kuchana picha za mgombea udiwani...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.
Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi...
Uchaguzi Mkuu wa 6 kwa mfumo wa Vyama Vingi Tanzania utafanyika tarehe 28/10/2020 siku ya Jumatano na kwa Mara ya kwanza unafnayika siku ya Kazi ambayo kwa umuhimu wake Serikali imeaamua kuifanya siku hii ya Uchaguzi kuwa ya Mapumziko--hili linahitaji Pongezi nyingi sana maana litaleta hamasa...
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika uchaguzi mkuu ujao!
Hivi si ndiyo huyu huyu Rais Magufuli amekuwa akigoma katakata kuongeza...
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.
Agosti 25, 2020
M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
Wakuu,
Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli.
Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa kiongozi anayeshughulika na matatizo ya watu, atapendwa na kuheshimiwa.
UPDATES
20/10/2020 0805...
Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi llazima kuwe na mipango ya muda mrefu na mifupi.
Huwezi kuwa na viwanda vikubwa vinavyofanya...
"Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000"
Magufuli akiwa Pwani Leo
Chanzo: TBC online
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo mkoa wa Pwani eneo la Bagamoyo na anaeongea sasa ni aliyekuwa mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Pia kwenye mkutano wa leo yupo Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete.
Ridhiwani kawaomba Wanachalinze wenzake kumchagua Dkt...
Siku chache zilizopita mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM na makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan alinukuliwa ktk moja ya mikutano yake ya kampeni akisema..
Hata kama kura hazitatosha mwaka huu, wao (i.e CCM) wana uhakika wa kuunda serikali na kuendelea kutawala kwa miaka mingine...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam
Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.