magufuli

  1. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

    Kumekucha...kumekucha! Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020. Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko. Wakti...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni vipi unawashawishi wakazi wa Dar waliobomolewa nyumba kwa upanuzi wa barabara wakati kwa wakazi wa Mwanza ulisema wasibomolewe walikupigia kura?

    Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi wote wakalaani sana kitendo hicho. Hivi katika wale waliolaani kitendo hicho ndio walewale...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  4. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Magufuli factor and impact of steming shadow economy in Tanzania

    A shadow economy is very detrimental to any nation, especially in the long run. That is mainly due to revenue losses suffered by government through rampant tax avoidance and tax evasion. Of course, on the other hand however the dominant class of shadow-economy billionaires may in the short run...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    Majibu aliyopewa sasa kule Twitter ndiyo utajua ni kiasi gani huyu anachukiwa.
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Halima Mdee akiomba matengenezo ya barabara za Kawe bungeni

    Hii ndiyo kazi ya mbunge.Mbunge anaongea na waziri kupitia bunge. Magufuli na Gwajima alitaka Halima afanye nini zaidi?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Dar es salaam kama Ulaya!

    Angalia jinsi jiji la DSM linavyopendeza kwa Sasa.
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa baadhi ya Watumishi wa umma ni mdogo, Kauli ya huyu mtumishi mwenzangu imenishangaza

    Habari wakuu! Jumatatu nikiwa ofisini katika stori za hapa na pale Mzee mmoja ambaye ndiye mkuu wa kitengo chetu au boss wetu akajikuta ametamka neno. Alisema hivi "Magufuli akiongeza mshahara mwezi huu( October) tutamwagia kura mpaka ashangae". Kila mmoja anajua kuwa watumishi wa umma...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wa Mungu kwa Lissu na Magufuli ni katika Yeremia

    UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI Na, Robert Heriel ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word) Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya nimeyaona kwa macho yangu, na kuyashuhudia mimi mwenyewe wala sio kwa kuhadithiwa. Je ni nani...
  10. Toxic Concotion

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Dkt. Magufuli anakwepa mdahalo wa ana kwa ana?

    Inawezekana ikawa sikubaliani moja kwa moja na kila analolihubiri Tundu Lissu ila kwa kiasi kikubwa naheshimu sana uwezo wake wa kujenga hoja. Zaidi ya mara moja Tundu Lissu ameomba mdahalo na mgombea wa CCM ambae ndie rais lakini ombi hilo ni kama vile Bw. Magufuli hajalisikia, ila nina yakini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Gwajima asiposhinda uchaguzi huu astaafu siasa, amefanyiwa kampeni kubwa sana na Dr Magufuli

    Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe. Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya ya Kinondoni Dr Magufuli alisimama katika kata zote msafara wake ulipopita jimboni Kawe na kuomba...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushindi wa CCM mwaka huu utakuwa mtamu sana kwa sababu Dkt. Magufuli atamshinda mpinzani wa kweli Tundu Lissu

    Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma. Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi au UVCCM wakati akiwa mwanafunzi ila siasa za " ukubwani" amezianzia NCCR mageuzi. Ndio kusema kwa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Magufuli anapomuenzi Nyerere kwa vitendo

    Na Emmanuel J. Shilatu Watanzania tunaadhimisha miaka 21 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tukiwa na sura yenye matumaini baada ya kufanikiwa kumpata kiongozi anayemuenzi vyema kwa matendo Mwalimu Nyerere. Naam! Namzungumzia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli hii Boko-Chasimba kuna dhulma ya wazi iliyonyamaziwa kama haipo tupia jicho lako haki itendeke

    Leo naandika tena kwa uchungu mkubwa nikiikumbuka Serikali yetu sikivu ambayo inajitahidi wakati huu wa kampeni kupita kila mahali kuomba kura kuwa ikumbuke dhulma iliyofanyika katika eneo la Chasimba inasikitisha mno. Eneo la Chasimba linaulikana historia yake ambapo lipo chini ya Kiwanda cha...
  15. seedfarm

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

    Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi. Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake. Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana. Nguvu kubwa inatumika kumsafisha...
  16. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli umeudanganya umma wa Watanzania na Wanategeta kuhusu kero ya mafuriko

    Wasalaam. Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Gwajima anachukiwa sana kwa sababu ni mkweli sana. Je, ukweli wake ni upi?

    Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli. Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 TUJADILI: Je, hotuba za mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu katika kampeni huwa anamtukana Mgombea Urais - CCM na Rais wa JMT ndugu Magufuli?

    Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni. Kabla ya tukio hilo la Jana tulimwona yule ajiitaye...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Magufuli: Hakuchukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa

    KILICHOMPONZA MAGUFULI, HIKI HAPA Na, Robert Heriel Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kwa nini sitomchagua Magufuli, nini ambacho Magufuli amekifanya kibaya mpaka asipewe nafasi ya pili kuliongoza taifa letu. Pengine hata Magufuli mwenyewe hajui kwa nini watu hawatamchagua hiyo tarehe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
Back
Top Bottom