magufuli

  1. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

    Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

    ====== Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli, vilisitisha mpango huo kwa sababu vilikuwa havijafuata kanuni na sheria za uchaguzi...
  3. Naton Jr

    JamiiForums Tanzania Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

    The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio maskini na IMF ni mabeberu, Magufuli ukatae msaada wao sasa

    Siku ya leo, taasisi ya kimataifa ya fedha duniani (IMF) imetangaza kutoa msaada wa kifedha kwenda kwa nchi 28 maskini zaidi hapa duniani. Katika orodha hiyo, Tanzania imekuwa ni nchi mojawapo. Japokuwa sote tunajua misaada hii haiji hivi hivi, mara zote nchi husika 'hupiga magoti na kuwalamba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Waziri Magufuli alipotoa waraka wa mafanikio ya Rais Kikwete kwenye mambo ya ujenzi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015

    Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo aliorodhesha mamiradi mengi mengi tu yaliyofanywa na serikali ya Mzee Kikwete. Sasa najiuliza kama...
  6. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Devotha Minja afuata nyayo za Lema na Mdee, aweka clip ya Magufuli akimshambulia Abood Aziz

    Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kupitia Chadema Mhe. Devotha Minja katika mikutano yake amekuwa akikatisha hotuba zake kwa kuweka clip ya sauti ya Magufuli. Katika clip hiyo anasikika Mhe. Rais Magufuli akimshambulia Abood mbunge wa CCM awamu iliyopita na aliyepitishwa tena na CCM akiomba miaka...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu. Nafasi hiyo itajazwa baadaye. PIA SOMA = > Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta...
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya kijinga. Kamati hiyo inamtuhumu Magufuli kuminya Demokrasia, utawala bora, uhuru wa kujieleza toka...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au? Kama kitu Watanzania wanachotaka ni maendeleo, then...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

    Watakaowasilisha Hati zao za Utambulisho kwa Mamlaka hii leo ni 1. Bw. David William Concar, Uingereza 2. Bw. Muhammad Saleem, Pakistan 3. Bw. Didier Chassot, Uswisi ( Switzerland). Maneno ya Balozi wa Uingereza Mara baada ya kutoka kukabidhi hati ya Ubalozi balozi amesema anatumaini uchaguzi...
  12. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anaomba kuongeza mkataba wa kazi na Tundu Lissu anaomba kazi kwa upya, ipo tofauti hapo

    Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza. Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake akina Lissu nk. Dr Magufuli anazungumza habari ya "nimefanya" wakati Tundu Lissu anazungumza habari ya...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ni nini na Serikali ya Magufuli imefanyia kazi components zipi za maendeleo?

    Katika kipindi hiki cha maamuzi na uwekwaji wa mustakabali wa Taifa ni muhimu tukarudi kwenye chambuzi na definitions mbalimbali zinazoelezea maana mtambuka (complex) ya maendeleo. maendeleo ni nini...? Itoshe kusema maendeleo ni jumuiko la mambo kadhaa endelevu yawe ya zamani au hata mapya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ili kuondoa utata kuwe na mawakala wa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi katika vituo vyote na wapewe 'nakala' za matokeo

    Pamoja na kwamba Magufuli amepiga kampeni kwa miaka mitano na miezi hii miwili ya NEC lakini ukifuatilia vizuri kampeni zake, utagundua kuwa ana hofu zaidi ya kushindwa kupata kura za kumuwezesha kushinda uchaguzi ikiwa na maana kwamba asilimia kubwa anaamini anaweza kushindwa. Hii...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Uchaguzi huu ndio utaamua kama tuendelee au tusiendelee na Muungano

    Mgombea urais wa JMT, Dkt. Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika. Chanzo: Wasafi tv Maendeleo hayana vyama!
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

    Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache. Kwa mfano, Nelson Mandela (R.I.P) wa Afrika ya Kusini Mungu aliweka kipawa cha uongozi ndani yake na hapa Tanzania Mungu ameweka kipawa cha uongozi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ampiga dongo Balozi Ali Iddi

    Amwambia pumzika na kaa mbali na Hussein Mwinyi
  19. Securelens

    JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo pekee imezalisha ajira za moja kwa moja 502, kati ya hao 449 wakiwa ni watanzania, Viva Rais Magufuli

  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

    Wapwa, Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili. Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC...
Back
Top Bottom