Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike huyo Rais wa Malawi huku wakijua kuwa ni Rais aliyetokea kwenye chama cha upinzani walikuwa wanataka kutuma ujumbe gani?
Je, hawakufikiria uwepo wake unatuma ‘mixed messages’ kwetu ukilizingatia CCM bado wanadai kuchagua upinzani ni kuleta vita au kuuza nchi?
Je, kuna vita yoyote huko Malawi toka huyu bwana ashinde uchaguzi hivi majuzi?