Uchaguzi 2020 Jamana Printers, Wapiga kura mil.29 wa Tume ya Uchaguzi, Asilimia 84 za Ushindi wa Magufuli zinazotajwa kila mara na Ali Bashiru na Polepole

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,340
5,250
Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini..

Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha.

Halafu mara kwa mara unawasikia akina Al Bashir na Humphrey Polepole kila mara wakitaja kuwa Ushindi wa Magufuli katika Uchaguzi huu Utakuwa ni kwa zaidi ya Asilimia 80%, unajiuliza kivipi? Maana ni Kinyume kabisa na Run ya mchezo. Kampeni za Mgombea wa CCM zimekuwa na Organisation ya hovyo kuwahi kutokea na Mgombea mwenyewe amekuwa akitembea na highways tu bila kuwafikia Wapiga kura wa maeneo ya pembezoni, Then anafanya Kampeni siku 2 na kupumzika Wiki...anadhalilisha Wapiga kura, halaf Unaambiwa Atashinda 80%, how?

Halafu Fast foward enters Jamana Printers...

Welcome to Jamana Printers Official Website, Number One Printing Solution in Tanzania, Book Printing, Flexo Printing, Catalog Printing, Textbook Printing, Binding & Finishing, Packaging - Jamana Printers

hapa ndo possibly zilipo codes za Wapiga kura mil.29 wa Tume na Asilimia 84% za "Ushindi" wa Madaraja zinazoimbwa kila leo na akina Humphrey Polepole, Al Bashir, REDET (soon), Nape Nnauye na wengineo.

Kama Ndivyo hivyo, namwelewa Lissu anaposema nchi hii haitabaki Vile vile tena baada ya Uchaguzi huu, So Much is At stake.
 

AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
3,419
3,382
Hizo propaganda mnazolishana zitawatokea puani. Tangia mwanzo mmeonesha ni chama cha Shari kabisa, kwa sababu kwenu Ubelgiji na kwenye uchaguzi huu mmeona halambi kitu mnataka kuleta zogo. Pamoja na mabeberu wenu ninyi vibaraka, kipondo kipo palepale na huko Ubelgiji mtarudi kwa miguu nawaambia.
IMG_20201003_141950_235.jpg
 

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,340
5,250
Hizo propaganda mnazolishana zitawatokea puani. Tangia mwanzo mmeonesha ni chama cha Shari kabisa, kwa sababu kwenu Ubelgiji na kwenye uchaguzi huu mmeona halambi kitu mnataka kuleta zogo. Pamoja na mabeberu wenu ninyi vibaraka, kipondo kipo palepale na huko Ubelgiji mtarudi kwa miguu nawaambia.
View attachment 1596356
Check Ulivo mjinga, tangu lini UN wakaendesha opinion polls? Mbuzi kasoro mkia Ujinga wako huu peleka Chato😀
 

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,242
9,802
Naona ramli zile zile za mwaka 2o15 tulipoambiwa karatasi za kupiga kura zimechapishwa China na ukimpigia Lowassa wino unayeyuka na kuhamia CCM, tukaambiwa tununue kalamu zetu.....Pumbavu sana wapinzani wa Tanzania! nani aliwaroga nyie kwanini mnadhani tunasahau haraka hivi jamani!
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,908
287,681
Yule mhuni Charles Wilson Mahera kishapewa na percentage ya ushindi wa JIWE ya between 85% to 89% kwa hiyo sidhani hata kama kura zitahesabiwa bali watacheza na namba za “waliopiga kura” kisha waibuke na percentage waliyopewa ili kuonyesha huyo anayejiita MWENDAWAZIMU anapendwa sana. Mkapa hakukosea kabisa kutaka Tume Huru.
 

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,733
2,848
Nchi itabaki ila yeye ndo hatabaki, hatuwezi poteza watanzania kwa ujinga wa mtu mmoja,
Tutamfukuza kama miguna wa kenya tumtupe hata somalia huko kama ana hamu ya vita.
 

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,009
7,187
CHADEMA ijipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi huu wameshashindwa kwa sababu ya sera zao za kupinga maendeleo.
 

DEJAN7

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
18,186
25,999
Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini....
Wapiga kura milioni 29 maana yake watu wazima wote wamejiandikisha.

Kanuni za uchaguzi tu ni goli la mkono.

Ukifikiria ina majaji wastaafu wanne wa mahakama ya rufaa, wakili mmoja na balozi mstaafu unashindwa kuelewa hawa watu waliwezaje kutengeneza kanuni za uchaguzi za namna ile

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 

cocochanel

Platinum Member
Oct 6, 2007
25,712
70,832
Pale uzi unapodororaaaaaaa.. inaonyesha.. bantu bamewachoka na figusu na buwongo wenu mwingiiii...

Acheni kutafuta.. njia ya kutokea..

Hakuna muntu anaweza kumushinda Magufuli 2020.. hakuna..

Anatenda yale nchi.. hakuna wahi kuona.. wananchi hatupo na kudanganywa.. muanze kulia.. kabisaaa.. kama bado..😅😅😅😅💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
102,175
179,568
Yule mhuni Charles Wilson Mahera kishapewa na percentage ya ushindi wa JIWE ya between 85% to 89% kwa hiyo sidhani hata kama kura zitahesabiwa bali watacheza na namba za “waliopiga kura” kisha waibuke na percentage waliyopewa ili kuonyesha huyo anayejiita MWENDAWAZIMU anapendwa sana. Mkapa hakukosea kabisa kutaka Tume Huru.

Huo ndio utakuwa mwisho wa Tanzania
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

infinix

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
2,098
2,149
Wale makarani walipoapishwa na kuandika wapiga kura 600 bandia hapo ndipo lilipo tatizo.

Sijui idadi ya makarani wa tume,lkn kila mmoja aliandikisha majina bandia 600.

Ccm akili ndogo kuibia cdm akili kubwa
 
21 Reactions
Reply
Top Bottom