Siku ya leo katika Hotuba ya Mhe. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya WhatsApp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana Siri za Serikali.
Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni...
Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
Niwazi kampeni zimeisha na Rais Dr. JPM amechukua ofisi kwa awamu ya pili, sasa kinachofuata ni utekelezaji wa Illani ya CCM.
Pamoja na ukweli kwamba ilani inayotekelezwa ni ya CCM lkn tumejifunza kuwa kuna mambo ambayo hayakuibuliwa ndani ya ilani ya CCM na yameibuliwa ndani ya ilani ya...
Wanabodi
Anza na kumsikiliza
Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
Spika wa Bunge Mhesh Job Ndugai ataendesha shughuli hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Watakaoapishwa ni Dkt Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho.
WanaJF, Salaam!
Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani...
Wanabodi, Salaam!
Kwanza nianze kwa kukupongezeni kwa uhai wenu ndani ya kundijamii hili - nafahamu kwamba pamoja na kuwa tumo watu wa itikadi tofauti za vyama vya siasa, dini tofauti, jinsia na makabila tofauti lkn bado tunatumia jukwaa hili kutoa ya akikini mwetu ili yasaidie kuijenga nchi...
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI.
Leo 13:25hrs 06/12/2020
TIC ndio mzizi uliosimikwa chini kwa Maendeleo ya Taifa la Tanzania,TIC ina wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa sehemu bora kwa...
WanaKigoma,
Huu ni ujumbe mahususi kwa Mhe Dkt Magufuli kwa heshima aliyotuonesha, aliyotupatia kufuatia uteuzi wa wasaidizi wake kwa nafasi ya uwaziri ambapo Wizara ya Fedha kamuteua Isidory Mpango, na Wizara ya Elimu na Mafunzo kamuteua Prof Ndalichako.
Hii ni heshima kubwa sana tuliyopewa...
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo
1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya...
Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma.
Kwa mtu mwenye akili ya kufikiria, atajiuliza, hivi inakuwaje tunakuwa hatuna mipango hususan inayotia ndani kutengwa...
Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa
Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
Mheshimiwa rais na serikali yako tunaomba uitupie macho TAZARA.
Kumekua na utendaji mmbovu mnoo na kwa muda mrefu kwenye hii taasisi.
Watendaji wakuu wamekua chanzo cha migogoro na mazingira magumu kwa wafanyakazi na wateja.
Shirika limejaa urasimu unaoharibu utendaji bora wa watendaji wa...
Rais, najua huamini kama maisha ni magumu labda kwa sababu wewe una kila kitu, hujawahi kukosa hela ya kuilisha familia yako, mbaya zaidi wanaokuzunguka hawakuambii ukweli, pengine nao kwa sababu nao wana kila kitu kama wewe.
Ukweli ni kwamba maisha ni magumu sana iwe kwa wasomi waliokosa ajira...
Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini. Nimeumia zaidi kuona viongozi wa dini wanavyosifia serikali hii iliyojaa kila aina ya dhambi na kuacha kukemea mauaji, ukabila na uchama unaoshamili nchini.
Nimeumia sana kuona wasomi wenye elimu ya juu ambao wamesomeshwa kwa...
Kuna mambo mengi sana ya msingi ambayo sikubaliani na aina ya utawala wa rais Magufuli. Mathalani sikubalini na matendo yake ya kuminya haki za msingi za wananchi kujichagulia viongozi wao kwa ridhaa zao, kwa mfano yaliyotokea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 kisha yaliyofanywa...
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM, lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa Mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM...
Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo
Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu yalifutilia mbali novel coronavirus, sasa Bunge la Umoja wa Ulaya linahoji pesa zimetumikaje au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.