Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake, ukitaka kuharibu uchumi basi anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki.
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu, kachero mbobezi na Mwanadiplomasia mahiri Bernard Kamillius Membe tarehe Mosi January, 2021 ataongea na dunia kijijini kwake Rondo Lindi.
Duru za kisiasa kutoka kwa watu waliokaribu na kada huyo wa zamani wa CCM zinaeleza kwamba pamoja...
Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam!
Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana.
Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara.
“Nikiangalia hoteli...
Wakuu kwema?
Nataka kumzawadia Raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli zawadi ya mwaka mpya, nataka kumzawadia kreti la bia.je huwa anakunywa bia kweli?
Asanteni
Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
Dkt. John Pombe Magufuli, ni mwamba imara - umefanya mengi mazuri i.e utawala bora, uwajibikaji, miundombinu nk
Pamoja na hayo nashauri uangazie sana matumizi ya fedha unazotoa kwa ajili ya mfuko wa self help schemes or political vote. Kwa wasiozifahamu ni kuwa Serikali hutoa:-
(a). Fedha za...
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuweza kuziuzia nchi zinazokabiliwa na janga la Corona, huku akimtaka mkandarasi wa daraja la Kigongo Busisi kuimaliza kazi hiyo ndani ya miaka...
Wanabodi, Salaam.
Nimeona kupitia mitandao ya kijamii kuhusu utenguzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Igunga mkoani Tabora leo tarehe 28 Desemba, 2020.
Kwa ujumla iwapo Mkurugenzi huyo alikuwa na kasoro lazima atenguliwe kupisha wenye uwezo, ubunifu na wanaojali kuongeza mapato...
Hili sakata la kutaka kufunga Hoteli ya Sugu huko Mbeya limeleta hisia nyingi.
Lakini baya zaidi ni lile la the dark side ya watu fulani ndani ya Serikali.
Serikali inaendeshwa na watu.
Na watu hao maafisa ndiyo waliotaka watumie mgongo wa Serikali kubomoa Hoteli hiyo.
Kwa wafanyabiashara...
Tukio la hivi karibuni la Rais Magufuli kutoa agizo la kuzuia "uvunjwaji" wa hoteli kubwa ya nyota tatu, inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya, maarufu "Sugu", linaibua hoja mbalimbali.
Tukirejea miaka 5 ya kwanza ya Magufuli, DC Sabaya wa Hai, anaonekana alipewa "kazi" maalum ya "kumkaba"...
In my opinion, must be a true reflection of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances.
Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official...
Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote.
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
Ukijaribu kuona aina ya uongozi wa Rais Magufuli na hata anavyojinasibu kupitia kwa wapambe wake ni kwamba anaenenda kama Rais wa kwanza Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere.
Miongoni mwa Mambo aliyoanzisha Nyerere ni pamoja na Azimio la Arusha lililotaka watumishi wa umma kutenganisha utumishi wao...
Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?
Ni matarajio yangu...
Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi.
Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Updates;
======
Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza.
Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara...
Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.
Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia.
Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24...
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Heshima kwako, Mkuu wa nchi, Pole na hongera na Majukumu yako ya kila siku. Naomba uniruhusu nichukue muda wako kidogo kwa kusoma jumbe hii. Natumai hekima na busara yako hazitashindwa kuelewa nini nimekusudia kusema.
Mara kwa mara nimekuwa nikikufuatilia katika...
"Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba.
#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya
#OfisiKuuYaChamaBuguruni.
------
Chama cha CUF jana...
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu.
Napenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.