magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Asante Magufuli. Tumesikia Barabara ya Bagamoyo Mlandizi inajengwa

    Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana. Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi kupewa jina la Rais Magufuli ili akumbukwe katika Utawala wake

    Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema daraja la Kigongo- Busisi limepewa jina la Rais John Magufuli ili aendelee kukumbukwa milele kutokana kazi kubwa aliyoifanya kwenye utawala wake. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Desemba 18, 2020 alipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hali Ikiendelea hivi, Nitamuunga Mkono Rais Magufuli

    HALI IKIENDELEA HIVI, RASMI NITAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Mimi ni moja ya aina za watu ambao wana misimamo isiyoyumba, wenye kupenda ukweli na kupenda haki na kuitenda. Nimejibainisha hivyo mara nyingi kama sio zote. Ni wale tusio na unafiki na tusio angalia uso wa...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuunge mkono Rais Magufuli Kutatua changamoto zetu ona hapa Mchungaji wa Trump akiomba Malaika toka Afrika wamsaidie Trump kushinda

    Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania. Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali hii ya Magufuli itakuwa na ubavu wa kugomea masharti magumu ya Wachina ilhali wanataka kukamilisha miradi hii ndani ya miaka mitano?

    Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  7. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajaguswa na kifo cha 'Taycoon' Subhash Patel?

    Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda. Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi Lakini mbona...
  8. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigongo-Busisi rasmi sasa kujulikana kama Daraja la JPM

    Serikali imelibadilisha rasmi jina la Daraja la Kigongo –Busisi linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara-Sengerema-Geita katika Ziwa Victoria ambapo kwa sasa daraja hilo litajulikana kwa jina la ‘Daraja la JPM kama sehemu ya kuenzi na kuthamini mchango wake kwenye sekta ya miundombinu...
  9. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

    Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi. Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utawala huu wa Magufuli: Shilole aomba ateuliwe kuwa DC

    C.E.O wa Shishi Food ambaye pia ni Msanii wa Bongofleva Shilole, amesema nje ya ndoto yake ya kuja kuwa Mbunge analo ombi kwa Rais Magufuli akimuona anafaa basi walau amteue kuwa Mkuu wa Wilaya maana anaamini katika uwezo wake wa uongozi. “Napenda kuwa Mbunge lakini kabla ya kuwa Mbunge ninalo...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli njoo vyuo vikuu ujionee. Manunuzi ya magari ni suala pana kuliko linavyotajwa mbele yako

    Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati Shule, Hospitali na Madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la milioni 400! Tatizo hili liko kote! Hiyo ofisi ya waziri mkuu inayopitisha vibali kama hivyo ina udhaifu...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

    Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa hata kwa tindo na kotapini. Napiga picha jinsi mbunge wa Geita mjini ambavyo alikuwa hakubaliki...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

    Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe". Mkurugenzi kafanya mengi Kajenga Zahanati, Kadhibiti mianya ya rushwa, Kajenga shule za msingi Kaongeza mapato ya halmashauri, Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake, Kadhibiti makazi holela, Na mengine mengi mazuri jamani...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anaapisha jumla wa Mawaziri 21 baada ya kuwa tayari ameshawaapisha Mawaziri Mawili ambao ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philipo Mpango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi kuwapunguzia mishahara watumishi wote TMAA kwa kufanya kazi ya hovyo

    RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na kuhamishiwa Wizara ya Madini, kwa sababu kazi waliyoifanya wakiwa TMAA ilikuwa ya hovyo Amesema watumishi hao...
  16. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya kauli ya DC Sabaya "DESI ilivyofumuliwa na Rais Magufuli"

    Wakuu habari? Kwanza nimpongeze sana DC Sabaya jinsi alivyo weka juhudi kuwasaidia watu waliolalamika kulaghaiwa na kampuni ya Q-Net wilayani kwake. Katika mazungumzo yake na waalimu akawauliza "bado tu hamjajifunza jinsi taasisi ya DESI ilivyofumuliwa na Rais Magufuli?" Chanzo: Youtube...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba tujadili utawala wa Magufuli tukiweka kando itikadi zetu za kisiasa

    Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila naipenda CHADEMA. Uchaguzi uliopita niliimpigia kura Tundu Lissu na uchaguzi wa 2015 nilimpigia kura Lowassa. Binafsi naamini kwenye utendaji na uchapa kazi Magufuli anawazidi wakina Lowassa na Lissu. Anayoyafanya Magufuli nina uhakika Lowassa na Lissu...
  18. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Simlaumu alieshindwa kusoma kiapo, Urais unatisha, Rais anatisha na Rais Magufuli anatisha zaidi

    Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji. Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
Back
Top Bottom