Mheshimiwa Rais tumehangaika mapaka tumeona tukuandikie kupitia jukwaa hili utusaidie sisi wanyonge wa kijiji cha Igingilanyi ambao tumetakiwa kuhama ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Nduli uliopo katika manispaa ya Iringa.
Baada ya kuelimishwa wananchi hatukuwa na pingamizi la mradi...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa.
Akizungumza kutokea...
Nawasalimu wanabodi!
Tunaposema haya si kwamba tunamchukia Rais wetu, hapana. Tunampenda sana. Tunampenda afanikiwe maana akifanikiwa Taifa limefanikiwa kwa ujumla. Hivyo basi, hata wapambe wake wajue hivyo.
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Marekani Robert Jackson anasema, "Si kazi ya Serikali...
Dkt. John Pombe Magufuli, hongera sana kwa kutekeleza vema majukumu yako ya urais
Naomba kukukumbusha juu ya maombi ya kutengewa mkoa mpya wa Nyakanazi. Mkoa huu ilipendekezwa uundwe na wilaya za Kakonko na Kibondo (Kigoma), na Ngara na Biharamulo (Kagera). Mkoa huu uwe na jumla ya wilaya nne...
WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Pili, John Malecela, ni miongoni mwa viongozi wachache nchini waliobahatika kufanya kazi kwa muda mrefu na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Wakati Taifa likiadhimisha miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa, MTANZANIA Jumapili limefanya mahojiano maalumu...
Kwa wale tunaofanya kazi sekta Binafsi tunafahamu ni kwa kiasi gani sheria hii inatumika Kama kitanzi katika maisha yetu kwani wengi wetu hatuna mikataba ya kudumu hivyo Ni wachache wenye uhakika wa kufanya kazi Mpaka wafikishe umri wa miaka 60 ambao ndo umri wa kustaafu kwa mjibu wa sheria...
JF members, and Tanzanians!
Dkt John Pombe Magufuli amefanya mengi mazuri kwa taifa letu la Tanzania - ni ngumu kutaja kwa jina kila alichofanya lakini kwa uchache - elimu, afya, barabara na vivuko, uwajibikaji, makusanyo na kodi, matumizi ya fedha za umma na kukomesha Ufisadi ni miongoni mwa...
Wajumbe,
Nianze kwa kukumbushia andiko langu juu ya hatari iliyopo kwenye muundo wa muungano wetu hususan katika zama hizi za vyama vingi.
https://www.jamiiforums.com/threads/je-zanzibar-inajiandaa-kujitwalia-uhuru-kamili.1770529/
Kwakua kupitia uchaguzi wa 2020 chama cha mapinduzi kimeshika...
Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.
Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya...
Nipo Dar-es-salaama kikazi na nimetua mitaa yangu ya katikati ya mji na nikamkumbuka msafisha viatu na maoni yake hatari ya kisiasa.
Nikakumbuka yupo mtaa wa Jamhuri lakini nilipofika pale sikumwona nikauliza mazee walokuwepo pale wakanambia kahamia mtaa wa Tandamti.
Basi kwa kuwa nilikuwa pia...
Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa.
Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao...
TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA)
Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka
Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
Wanabodi,
Miaka mitano ya Rais John Pombe Magufuli si mingi. Itaisha muda si mrefu.
Ninajua 2015 vijana wengi wa CCM walijitokeza kuutaka Urais wakiwemo January Makamba, Mwigulu Nchemba hata Hamisi Kigwangala lakini wote waliangukia pua baada ya kuachwa kwenye mchujo.
Kwa mwaka 2025 kwa...
Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.
Chanzo: Eatv...
Yaani kila nikiiangalia CCM kusema kweli hawana anaeweza kumrithi Magufuli, hamna nikiwaangalia naona hawaiwezi kazi ambayo Mheshimiwa anaendana nayo, Sasa hata kule kwa wavaa makoti wala bata na pilau nako ndio yaleyale maji ya futi kwa nyayo.
WaTanzania walio wngi sasa wameanza kuona matunda...
Ombi kwako Rais wangu.
Shule za Serikali za english medium ni chache sana.
Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za Kiswahili medium
Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia...
TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha kurusha matangazo kwa miezi sita kuanzia leo kutokana kwa kukiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui ya utupu.
Maamuzi hayo yanakuja kufuatia maudhui ya picha jongefu yaliyomwonesha msanii wa bongo Fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money akicheza...
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka.
Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora
Japo Magufuli anaongoza...
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni.
Binafsi naamini vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za wananchi na naaamini pia wako baadhi ya watu kwa sasa wameanza kupania ku-react...
Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana.
Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo.
Anakamata watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.