State of the highest office; The Office of The President

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,131
2,000
In my opinion, must be a true reflection of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances.

Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official 'personal' working space.

Harambee House, Harambee Avenue, Nairobi.

uk110.jpg
new-county-jobs.jpg
dufObjKmscwoxwouQKbflHcxWpjlAfZ3YxMjQGomvckKWf9p9C_VKM6s4B43qPM-mrW69cRJIyOLDnlkEVh7MOwDO5bD=s750
I

Ikulu, Chamwino, Dodoma


2640663_FB_IMG_16080948040447488.jpg
2640661_FB_IMG_16080948139332144.jpg
2640662_FB_IMG_16080948090791369.jpg
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
20,412
2,000
Eti gharama? Mpangilio simpo tu wa vitu ofisini, kama 'filling' na majukumu madogo madogo ya secretary ndio unasema ni gharama?
mpangilio wa kazi gani wewe!!!hiyo sio ofisi ya kupigia picha,kwanza ni ofisi temporally ya ikulu nyingine ikijengwa.
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
20,412
2,000
Sasa mbona mzee amepigia picha hapo ofisini? Kwahivyo anajengewa nyingine ambayo sio ya gharama? Badala ya kubana matumizi na kufanyia kazi yake chini ya miti au hata kwenye balcony?
ndio maana nawaambia msiwe mnamaliza maneno.

hapo umeponda ofisi,nakwambia inaangaliwa gharama,maana hiyo ni ofisi ya muda,mpya inajengwa hapo hapo,ukiacha na ya siku zote ya dsm.sasa kwanini kurundika mavifaa ya gharama kwenye ofisi ya muda!!!!

au nikupe picha za ofisi ya dsm uone vile ofisi ya rais wa EA inakaa
 

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
35,007
2,000
Uzi tayari! We fikiria umefika kwa ofisi kama hiyo, kwenye shughuli zako za kibiashara, kufanya dili la mamilioni(ya KES). Alafu ukiingia ndani unapata ni kama kulikuwa na uvamizi wa panya buku. Nakuhakikishia kwamba 'haiwesmake'.
Rais wetu hafanyi biashara! Hayo mafaili ni ya wahusika waliotakiwa kuchujwa kupata mawaziri 21 na manaibu 21.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom