Rais Magufuli tunaomba uruhusu mabadiliko shule za msingi za serikali ziwe English Medium nyingi katika miji mikubwa

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
5,079
2,000
Ombi kwako Rais wangu.

Shule za Serikali za english medium ni chache sana.

Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto wao kwenye shule za msingi za Kiswahili medium

Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia english mapema waijue.

Tunaomba shule za serikali kama Olimpio ziwe nyingi miji mikubwa.
 
Grim Langdon

Member
Dec 21, 2020
86
150
Ombi kwako Rais wangu.

Shule za Serikali za english medium ni chache sana.

Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto watoto wao kwenye shule za msingi Kiswahili.

Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia english mapema waijue.

Tunaomba shule za serikali kama Olimpio ziwe nyingi miji mikubwa.
Yap, wazo lako ni zr sn maana kuna watoto huku shule zetu hz akili wanazo ila kimombo huku sec ndo kinawazingua.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,088
2,000
Yap, wazo lako ni zr sn maana kuna watoto huku shule zetu hz akili wanazo ila kimombo huku sec ndo kinawazingua.
Wazazi mjiongeze. Mmewazaa hao watoto, watafutieni nyenzo za kuboresha maisha yao ikiwemo elimu. Mtaiachia serikali na waalimu kama vile ndio waliwaleta duniani.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
12,162
2,000
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUA

Trump akili zake sometime kama za Bashiru wa ccm
 
Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
25,259
2,000
Wazazi mjiongeze. Mmewazaa hao watoto, watafutieni nyenzo za kuboresha maisha yao ikiwemo elimu. Mtaiachia serikali na waalimu kama vile ndio waliwaleta duniani.
Sio wote wenye uwezo wa kupeleka mtoto English medium, hutambui hilo?
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,088
2,000
Sio wote wenye uwezo wa kupeleka mtoto English medium, hutambui hilo?
Hata wakiwa shule za kata, mzazi ahakikishe mwanae ana vitabu, na akae naye amfundishe penye upungufu.
 
Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
25,259
2,000
Hata wakiwa shule za kata, mzazi ahakikishe mwanae ana vitabu, na akae naye amfundishe penye upungufu.
Aisee ndugu..sie wazazi hata kiingereza chenyewe hatujui. Unaongea as if wazazi wote wapo sawa na wewe. Hapa tunataka kulikomboa taifa na si mtoto mmoja mmoja. Itafutwe solution itakayobadilisha sekta ya elimu
 
Simba zee 33

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,379
2,000
Ombi kwako Rais wangu.

Shule za Serikali za english medium ni chache sana.

Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto watoto wao kwenye shule za msingi Kiswahili.

Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia english mapema waijue.

Tunaomba shule za serikali kama Olimpio ziwe nyingi miji mikubwa.
Huyo jiwe mwenyewe kiingereza cha ugoko sasa wewe unatarajia yeye atakubali?
 
Attachments

  • File size
    3.6 MB
    Views
    4

mtzedi

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
3,936
2,000
Wanetu Huku Nanjilinji wasome kwa kutumia Kiswahili !
Viongozi wengi watoto wao wapo Int'l School sio English medium. Wewe na uzalendo wako peleka mwanao Kayumba. Za kuambiwa changanya na zako.
 
Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
2,137
2,000
Ombi kwako Rais wangu.

Shule za Serikali za english medium ni chache sana.

Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto watoto wao kwenye shule za msingi Kiswahili.

Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia english mapema waijue.

Tunaomba shule za serikali kama Olimpio ziwe nyingi miji mikubwa.
Wazo zuri.
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,129
2,000
Hapo magufuti ahusiki ni halmashauri husika kupitia baraza la madiwani wao ndio wanaweza kukaa na kupanga kuwa shule X tunaifanye hivi serikali haina kipingamizi so huu ni wakati wa halmashauri kustuka na kuanza tekeleza mambo kama haya

Kazi ya serikali kuu ni kutoa vibali tu baada ya kupata mapendekezo kutoka katika halmashauri hudika baada ya kukizi vigezo vya jambo wanalotaka lianzisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom