Rais wa Tanzania anasema Mungu ameondoa COVID-19 katika nchi yake. Sasa kanisa analosali mwenyewe laonyesha kutofautiana naye. Mamlaka ya Kanisa Katoliki wiki hii imetoa onyo juu ya wimbi jipya la maambukizo ya virusi vya corona huku taasisi mbali mbali za serikali zimeanza kuhimiza...
Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha
FRIDAY JANUARY 29 2021
Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
Rais wa Tanzania Magufuli:
aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya,
aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania,
kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko la ndani,
kaongeza ukusanyaji wa ushuru,
kazuia usafirishaji wa mchanga wa madini, na sera zingine...
Warning: long read.
Tanzanian president Magufuli has order the Min. of Health to be caution on the new vaccine, demanded mining companies to form partnership with Tanzanian firms, restricted import of certain products to protects local market, increased tax collection, blocked export of...
Kutoka kwenye ukuta wa Bollen Ngetti Face Book nami nawasukumia bila kuongeza neno.
Kuna mambo mengine ukikutana nayo yanachefua na kutia kinyaa. Yani utadhani viongozi woooote wa Mkoa wa Dar es salaam wameenda likizo, hawapo au wameamua kusubiri ziara ya Rais Magufuli ndio aje kutoa maagizo...
Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kimaendeleo nk?
Ajaye atakuwaje na atatupeleka wapi jamii ya Kitanzania kipindi hicho...
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema...
Salaam Wana JF.
Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na kinachoendelea kwa sasa dhidi ya chanjo ya Covid 19, Rais wa Tanzania ameibua mjadala mpana ndani na nje ya...
Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo.
Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
Rais John Magufuli akizindua mradi wa maji ulioko Kagongwa, Isaka - Kahama
Mradi umegharimu takriban Tsh bilioni 23.157 fedha ambazo zimetolewa na serikali ya Tanzania. Matenki yanajaza lita milioni 1.6
Serikali ilitoa tsh. 24 mkandarasi alitumia Tsh bilioni 23.157
Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao.
Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...
Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.
Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani...
Rais Magufuli amesema haya
''Mkurugenzi wa Kahama Mji unafanya kazi kubwa sana, ka kosa kale kadogo kamesamehe dhambi zako zote. Unafanya kazi sana najua unapigwa vita ila wanaokupiga vita kuanzia sasa wakuogope.
Nimemsamehe Mkurugenzi huyu, amefanya makubwa! Mkurugenzi hongera Sana. Na hilo...
Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili.
======
WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
Nimecheka kicheko cha ubwege, ujinga na majilaumu.
Kiingereza wanasema, "the burning issue". Huku "site" tunasema "kinachobamba" kwa sasa ni janga la ubanwaji wa kifua na mafua al-maarufu Corona.
Tayari watu milioni 2.1 wamekufa na milioni 100 wameambukizwa. Wanasayansi wanahangaika kusaka...
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Up dates;
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.
Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.