Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
Wakuu habari za muda?
Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo;
- Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi.
- Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi...
Salaam Wakuu.
Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.
Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi
Angalizo; Mimi si Askari na sina...
Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
Tatizo la wahalifu waliohukumiwa wanapomaliza vifungo na kurudi mitaani kisha kuendelea na uhalifu ni moja ya changamoto katika jamii zetu pamoja na kazi nzuri inayofanywa na jeshi la magereza ya kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili watoke wakiwa raia wema lakini bado jukumu hili...
MARTHA FESTO MARIKI AITAKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUBORESHA MAKAZI YA POLISI NA MAGEREZA
"Katika Mkoa wa Katavi katika Jeshi la Zimamoto tuna takribani zaidi ya miaka 12 hatuna gari la uhakika la Zimamoto. Mkoa unakua, Serikali imewekeza ikiwepo Bandari. Mkoa unapokea wafanyabiashara wengi...
Kumekuwepo na changamoto ya wahalifu wengi (japo sio wote) kuongeza matukio ya kihalifu na tabia zisizo za kimaadili pindi wanapotoka magerezani baada ya kumaliza kutumikia vifungo vyao. Ambaye alikua havuti sigara anatoka anavuta sigara, aliyekua hanywi pombe anatoka anakunywa pombe, aliyekua...
Jeshi la magereza nchini limezindua sare mpya ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia leo Aprili 26, 2023 kwa wafungwa wakike wote wanaotumikia vifungo vyao gerezani.
Akizindua sare hizo, Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini, CGP Mzee Ramadhan Nyamka amewataka wakuu wa magereza katika mikoa yote...
Hii imefanyika Feb 23,2023.
International Criminal Tribunal for Rwanda ambayo imemaliza kazi yake, imekabidhi Detention Centre kwa Kamishna Jenerali, kuitumia anavyopenda. Ni Detention Centre ya watu mia moja(100).
Kila chumba kina choo. Lipo jiko pale. Haiitwi jela. Inaitwa Detention...
JF SUMMARY
Tume ya Kuboresha Taasisi za Hakijinai Nchini itaanza ziara ya siku 12 katika Mikoa 13 kwa kutembelea Magereza Makuu 14 na Makazi ya Askari ili kupata maoni kutoka makundi mbalimbali wakiwamo Wananchi na Askari wa Vyeo vya chini.
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu #OthmanChande...
LIPO AMBALO WAFUNGWA WANALIPWA Tsh. 18,000 NA LINGINE UKIINGIA UNALIPIA ADA KILA MWISHO WA MWEZI.
1. ARANJUEZ,Gereza hili linapatikana huko Hispania Jijini Madrid. Inaaminika hili ndio Gereza la kifahari na la kitofauti zaidi duniani,kwani wafungwa wa hili gereza huishi maisha kifahari sana...
Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni...
Habari ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uzoefu wa usaili kuhusu Jeshi la magereza kwa sisi Form Four tusiokuwa na fani.
Je, usaili wake upoje? Au maswali yanayoulizwa mara kwa mara ni yapi? (Oral & written)
Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a.
Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
Hizi kesi tunazosomaga humu kwamba mtu mzima amebaka mtoto kumbe baadhi huwa ni za mchongo
Morogoro. Ofisa magereza katika gereza la Kingolwira mkoani Morogoro, Samwel Stanley, ambaye Agosti 22 mwaka 2022 alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka nane...
Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.