magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Askari magereza mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka 13

    Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13. Taarifa fupi ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro iliyotolewa na kaimu RPC,kamishna msaidizi wa jeshi la polisi(ACP),Abel mtagwa...
  2. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Magereza yapo kwaajili ya binadamu kuwa makini

    Habari jamii Africa Gereza linatisha, Stori zake zinatisha, Matendo ya huko yanaogofya, Lakini ikiwa upo Duniani kaa ukijua muda na saa yoyote unaweza kuangukia huko. Najua wengi tunajitajidi kuishi Kwa ukamilifu ikiwa ni njia ya kujiepusha na makosa mbalimbali,lakini niseme tu kama upo...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini askari magereza wameficha nyuso zao hapa mahakamani?

    Naombeni ufafanuzi wana medani
  4. L

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kutoka wala kutolewa Magereza kwa mashinikizo. Ni lazima ajibu mashtaka yanayomkabili na Sheria ichukue mkondo wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kupiga makelele, kupaza Sauti au kuzungumza vyovyote vile kwa lengo la kushinikiza na kulazimisha lissu aachiwe huru bila Masharti ni kujidanganya ,ni kupoteza muda ni kupiga makelele yasiyo na msingi ,ni kuwasumbua watu tu na kujitia ujinga tu usio na msingi...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  6. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania Chadema ni wajanja ,wameshajipanga tena kutuacha kwenye mataa

    MOSI, Magereza mbalimbali nchini naamini wameanza kukarabati vyumba vya kulalia wafungwa na kuboresha miundo mbinu ya kuwadhibiti wanaoweza kuhatarisha usalama wa mazingira ya wafungwa sugu na wale wachochezi wasioitakia mema nchi ,wanazuka kama uyoga unapokaribia Uchaguzi mkuu ,inasemwa wapate...
  7. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania KC Dorothy: Leo Jeshi la Magereza limenizuia kumwona Lissu

    IBADA YA PASAKA GEREZANI: KUMTEMBELEA TUNDU LISSU Katika kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka mwaka huu, niliamua kuitumia siku hii kwa namna ya kipekee kwa kwenda kumtembelea Ndugu Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA na pia Mwenyekiti wangu katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), aliye...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huduma za Magereza: Haki, taratibu na miongozo ya Wafungwa na Mahabusu Nchini Tanzania

    UTANGULIZI Majukumu ya msingi ya Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwahifadhi gerezani watu wote wanaoletwa gerezani kwa mujibu wa sheria za nchi na kuendesha program mbalimbali zenye kulenga kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili hatimaye watoke gerezani wakiwa raia wema. Katika kutekeleza...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Giza nene alipo Tundu Lissu, Magereza wasema wanafuatilia

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema bado kimeendelea kusisitiza kuhusu msimamo wake wa Jana Aprili 18, 2025 wa kulitaka Jeshi la Magereza na Vyombo vingine vya Dola kueleza kwa "haraka" alipo Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, wakieleza kuwa mara baada ya saa 24 kupita...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jeshi la Magereza lasema Lissu hajapotea, bado linamshikilia kwenye gereza la Keko

    Jeshi la Magereza lasema limemhamisha Lissu kutoka Keko kwenda Ukonga
  11. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Nilipishana na msafara mzito wa gari za KM (Kikosi Maalum cha Magereza) hapa Banana, pengine ndio Lissu anapelekwa Ukonga?

    Nilipishana na msafara wa magari yaliyowashwa taa na double hazard huku kukiwa na lundo la askari wa KM wakiwa na silaha za kivita. Je ndio Lissu alikuwa anahamishiwa Gereza la Ukonga?
  12. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hatulalamiki kuboreshwa miundombinu ya magereza na vituo vya Polisi nchini Tanzania?

    Ukipata bahati ya kutembelea magereza na vituo vya polisi vya hapa kwetu Tanzania hali ni mbaya majengo yamechoka, huko mahabusu sasa ndio balaa yaani ni ovyo ovyo as if huko ni mateso tu ebu serikali ikumbuke kuboresha mazingira kama inavyofanya kwenye afya na elimu basi hawa watu nao...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tukio la Emmanuel Lucas kuuawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza (Mara), uchunguzi ufanyike na Haki ipatikane

    Dar es Salaam, 02 Aprili 2025. Jana tarehe 01 Aprili 2025, LHRC ilipokea taarifa za kuuawa kwa mwananchi mmoja aitwae Emmanuel Lucas Mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Kisangura Wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara kilichosababishwa na askari wa Jeshi la Magereza Sijali William Hence na...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza magereza kupewa ruzuku ya nishati safi ya kupikia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameilekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutoa ruzuku kwa Jeshi la Magereza ili kutekeleza maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia na kuhakikisha Magereza yote yanaondokana na Nishati isiyo safi.
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu ni Askari Magereza ?

    Huyu ni Askari Magereza ?, Kama jibu ni ndio basi huko Magereza kuna Watu wapumbavu sana
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawezesha magereza 10, usikilizwaji wa mashauri kwa njia ya mtandao

    Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati, kupunguza msongamano wa wahalifu magerezani pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji wa wafungwa na...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tuna taarifa Masheikh 51 bado wanashikiliwa katika magereza kwa miaka 10 sasa bila kufikishwa mahakamani

    KUKAMATWA TENA KWA MASHEIKH 12 BAADA YA KUACHIWA HURU Machi, 10 2025, Dar es Salaam Mnamo tarehe 4 Machi 2025, LHRC ilipata taarifa kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachilia huru masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi. Masheikh hao waliachiwa huru baada ya Jamhuri...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

    "Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ikitokea kijani kinakuwa chama Cha upinzani 2025, magereza yatatosha?

    Hellow Tanganyika, Nchi yetu Ina mfumo wa vyama vingi vya siasa, Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na ikitokea Watanzania wakaamua kuipa CHADEMA kuongoza Nchi kutokana na udhaifu au kutokubalika Kwa mgombea KITI kikubwa wa chama Cha kijani, je magereza haya yatatosha? Na ikiwa yatatosha, je...
Back
Top Bottom