Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,716
- 45,121
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.