Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi.
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida...
Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni.
Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon...
Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana...
Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini.
Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
Nimepata kukutana na picha inayoonesha kalenda Jeshi la Magereza, kalenda ya mwezi wa Oktoba na kukutana na tarehe 32 Oktoba 2024.
Je, ni kwamba wamekosea au wapo sahihi!?
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Jeshi la Magereza lazima likubaliane na maboresho ya kimfumo, kimuundo na kitaasisi ambayo yatakwenda kuongeza uwezo wa uzalishaji mazao ya kilimo kwa magereza ya uzalishaji mali nchini.
Waziri Masauni ameyasema hayo tarehe 29...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Magereza.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu...
Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata.
Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
Kwenu wajuvi wa Sheria!
Kwenye clip hapo chini ni malalamiko ya mtu anayedai kutapeliwa. Tukio lilitokea Arusha. Mlalamikaji aliuziwa shamba la ekari 2 kwa milioni hamsini na nne. Lakini alipotaka kuanza kulitumia shamba lake, alilikuta limeuzwa kwa mtu mwingine.
Mtuhumiwa alifunguliwa kesi...
Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha fedha za pensheni ya kustaafu alicholipwa.
Anasema alipokea sms ikionyesha malipo ya Sh21 milioni...
Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari police, watumishi wa almashauri, walimu, mahakimu n.k.
Hutashangaa kusikia kada hizi zikikemea...
Kutokana na wimbi la uhalifu kuongezeka mitaani huku chanzo kikiwa ni ukosefu wa ajira pamoja na elimu stahiki nashauri serikali ianzishe veta kwenye magereza.
Wakianzisha veta pale magereza wafungwa pamoja na mahabusu wote iwe ni lazima kusomea chochote, na kama kuna mtu ambaye ana elimu...
Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana.
Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi.
Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.