magari

  1. B

    Elimu ya ulipaji kwenye makapuni ya kuagizia magari

    Bhana we nataka kuagiza gari kutoka beforwad kwa mara ya kwanza, sasa ni hivi kuna kitu kinanichanganya hapa wanapoandika Dar es Salaam+clearing ina maanisha hapo mpaka TRA wanamaliza au hiyo clearing imesimama kwaajil ya nshu gani. Mana kuna dar es salaam bila neno clearing.
  2. T

    Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Habari. Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF. Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa. Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara...
  3. J

    Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

    Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo. Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana...
  4. Kampuni nzuri ya kuagiza magari japani

    Mimi leo nitaongelea kamapuni moja tu inaitwa NIKKYO ambayo imenipa huduma nzuri mimi na marafiki zangu. Nimesha agizia marafiki zangu watatu kwa kupitia kampuni hii ya Kijapani ijulikanayo kama NIKKYO www.nikkyocars.com Hii kampuni haina jina kubwa Tanzania ila nilipata recommendation kwa...
  5. Hawa wanaovaa Vibarakoa kwenye magari private siwaelewi

    Naomba nitangaze nia. Mimi moja ya watu ambao niliipinga vikali corona kwa maombi. Sikuwahi kununua wala kuvaa barakoa. Tena wakati watu walipokuwa wanakimbia DSM, Mimi nilipishana nao Singida nikienda hapo hapo DSM. Nilipita pote nilipotaka bila Barakoa. Niliwahi kunusurika kulambwa bakora...
  6. Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

    Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato. Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu inatazamiwa kupitishwa na kuanza kutumika, kumbuka tozo hiyo inayosimamiwa...
  7. J

    Hili la Manispaa ya Ilala kumiliki magari ya kubebea nyama na kusambaza mabuchani ni kuibana sekta binafsi

    Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana. Nilimsikia Naibu Waziri wa mifugo mh Gekui akiipongeza Manispaa ya Ilala kwa ubunifu huo wa kusafirisha nyama. Ni vema Serikali...
  8. Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
  9. Car4Sale Magari mazuri chini ya milioni 5

    Hii hapa Corolla Bado iko barabarani inafanya kazi vizuri tu. Document zote za umiliki zipo Gearbox clean Engine safi Ipo pugu Dar es salaam Bei 3,500,000 Tshs only Nitafute 0744033555
  10. Mafunzo ya Jeshi, Ufundi Magari na Sabato

    Kijana mwenye umri wa miaka kumi aliketi ametulia akisikiliza kwa makini hotuba yake ya kwanza katika Kanisa la Waadventista wa Sabato. Mhubiri alieleza kuhusu mfanyakazi wa Posta ambaye alipokea barua inayoenda kwa Santa Claus (Babu Krismasi). Kijana mdogo alikuwa ameandika barua kwa Babu...
  11. M

    Ni kwanini Mabrazameni (Mabarobaro) wengi wenye Magari yao hupenda sana kuyapeleka Gereji Bubu Kutengenezwa?

    Na hawaishii tu kuyapeleka Gereji Bubu huko Kutengenezwa bali hata wakiwa huko hupenda Kujificha ili wasionekane. Ni kwanini wanakuwa hivi?
  12. TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetolea ufafanuzi taarifa juu ya kupanda kwa gharama za kodi za magari yaliyotumika yanayoingia nchini. Ufafanuzi huo umekuja wakati kukiwa na malalamiko ya wafanyabiashara ya magari wakidai kuwepo kwa ongezeko la kodi za magari ya mitumba. Taarifa ya TRA...
  13. MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
  14. Norway: Mauzo ya magari ya umeme yapiku yale yatumiayo petroli na dizeli

    Mauzo ya magari yanayotumia umeme yafikia 54% ya mauzo ya magari yote mapya huko nchini Norway, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kurekodi mauzo ya juu ya magari hayo dhidi ya yale yatumiayo dizeli na petroli. Serikali ya Norway ina mpango wa kukataza mauzo ya magari yatumiayo petroli na...
  15. Hospitali ya rufaa ya Mout Meru Arusha haina parking

    Nilishangaa kuona Hospitali inayoitwa ya Rufaa haina parking. Sehemu pekee watu wanayotegemea kupaki ni nje kabisa pembezoni mwa barabara ya East Africa ambapo ni pafinyu labda niseme panatosha robo ya mahitaji.
  16. J

    Mkandarasi barabara ya Mwinjuma Mwananyamala mbona umeruhusu magari kupita na haujaweka lami?!

    Kutokea mwananyamala A hadi kona ya studio mkandarasi ametoa lami ya zamani kisha amefungulia barabara maisha yanaendelea. Ndio nauliza kwanini uliondoa ile lami ya zamani? Yaani umechimbachimba hadi vibarazani mwa nyumba za wenyeji halafu umejiondokea!!! Kwa mfano pale Komakoma kwa Makongoro...
  17. Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

    Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu. Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya...
  18. Majigambo ya Humphrey Polepole na V8 ndiyo yaliyochagiza ununuzi wa magari ya kifahari kwa Ma-DED na Taasisi nyingine

    Wana JF. Ukiangalia kwa umakini unaweza kuona maDED kama wameonewa vile kwa sababu chama chenyewe kupitia katibu mwenezi mstaafu ndiye kinala wa uchochezi kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. Kuna kiclip moja HP alitamba sana kuwa viongozi wengi hata wa hali yA chini wanatumia magari makali...
  19. D

    Hofu ya kugonganisha magari inavyozuia wengi kutohudhuria maeneo ya starehe au msongamano

    Wadau! Sikukuu ndo hizo zinaanza, weekend ndefu ndefu kama zote! Tupeane mbinu za namna ya kukwepa kugonganisha magari chimbo na sehemu za starehe!!!
  20. J

    Swali la sikukuu: Ununuzi wa magari ya kifahari kwenye halmashauri kosa ni la Wakurugenzi au Madiwani wa CCM?

    Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri. Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM. Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza. Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…